PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna tofauti ya Wanachokifanya ccm na serikali yao na walichokifanya makabulu wa Afrika kusini kwa weusi kipindi cha utawala wao.

Ukitizama filamu ya Sarafina alichofanyiwa yule Mis Masambugha ndo wanachifanya ccm kwa wahadhiri na walio wanaofundisha vyuoni na mashuleni.
 
Hivi wakuu kwa msaada mimi na familia yangu Mama Maria Nyerere hawazi tupokea kweli , tafadhali nipe majibu
 
We MAMAKO, BABAKO, BIBI NA BABU ameuliwa, kutekwa, kuteswa na kupotezwa?
 
Kwamba elimu ilikuwepo 1989 udsm na haikuwepo 2003?!..mbona huakisi fikra iliyoelimika!?.. halafu toka 2003 hadi leo nitakua na elimu gani ikiwa niliamua kusaka elimu bila kuchoka?
Nimekujibu kama ulivyokuja, kwa akili yako unadhani mimi nimeganda, poor.
 
Nikimgundua wa hivyo hatagraduate labda ahame chuo.
 
Ndio tunapoelekea, itabidi hadi nadharia za uchumi, sheria, au uongozi "zigeuzwe" ili zisije onekana ni uchochezi. Tunaua mpaka elimu kisa kulinda cheo cha mtu mmoja
Na mitaala yote ibadilishwe topic kama French revolution,Nationalism in Europe na Africa zifutwe kabisa maana zitazalisha wana harakati ambao ni hatari kwa taifa.

Watu kama Kwame Nkrumahi,Mandela,Nyerere,Cheguevara tuwasahau kabisa kama waliwahi kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…