Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

13 August 2021

Miradi ya Miundo-mbinu Tanzania kama SGR, NHPP Stiegler's Gorge , Air Tanzania yajadiliwa kwa kina.

Jopo hilo lina jumuisha Dr. Bravious Kahyoza, Prof. Abdul Shareef, Aisha , Rosemary Mwakitwange, Zitto Kabwe.

Asilimia 7% ya ukuaji uchumi, Public spending, Kodi, Uwekezaji, State capture, asilimia 26 ya watu wote ni kundi la masikini hohehahe limeongezeka ( yaani watu 15 milioni)

Je majenzi ya miradi hii mikubwa ni kweli yanabebwa na fedha zetu za ndani sisi waTanzania ?

Source : Nadj Media Center

Ohoooo!!
 
Miradi hii ikiwemo SGR tayari imefeli katika maeneo nyeti muhimu ya nchi :
  1. kiuchumi - SGR hautasaidia uchumi
  2. kimapato -SGR hautaingiza mapato
  3. kimazingira - haitachochea maeneo SGR inapopita na
  4. kijamii - wananchi watalipia madeni kwa mradi uliyofeli

Zombies of Voodoo Economics​

24krugmanSub-jumbo.jpg

Credit...Bettmann Archive, via Getty Images

Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
 
19 March 2021

HOFU YA MKURUGENZI WA UWEKEZAJI TIC MRADI WA SGR

MRADI WA SGR TIC YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI
Source : uwekezaji tv
 
23 August 2021

UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA UMEFIKIA ASIMILIA MOJA (1%)

Ujenzi wa kipande cha urefu wa kilometa 341 cha reli mpya SGR baina ya Mwanza mpaka Isaka kimefikia asilimia moja baada ya miezi mitatu tangu umeanza. Mjenzi bado anaendelea kukusanya vya ujenzi huku kambi za wafanyakazi zikiendelea huko wageni 174 toka nje ya Tanzania wameajiriwa na pia zaidi ya waTanzania 1000 wameajiriwa ktk hatua hii ya mwanzo.
Source: TRC RELI TV
 
Uko sawa kwa 100%
 
..ujenzi uko asilimia 1% tunatangaziwa?

..nadhani hiki kitengo ni kichaka cha upigaji.
 
..ujenzi uko asilimia 1% tunatangaziwa?

..nadhani hiki kitengo ni kichaka cha upigaji.

Hapa ni wazi serikali ipo katika wakati mgumu kusapoti miradi ya aina hii kwa mpigo hivyo hata asilimia moja (1%) ikifikiwa basi inatumika kama propaganda kuhalalisha tozo ya uzalendo, kodi mpya n.k

Wa Giriki waliliona tangu karne kibao zilizopita harakati za watawala kuwapoza raia na kuja na msemo hata kile kidogo tujaribu kuonesha kodi zinafanya kazi.
'Desperate Times Call for Desperate Measures'
 
Miradi hii ikiwemo SGR tayari imefeli katika maeneo nyeti muhimu ya nchi :
  1. kiuchumi - SGR hautasaidia uchumi
  2. kimapato -SGR hautaingiza mapato
  3. kimazingira - haitachochea maeneo SGR inapopita na
  4. kijamii - wananchi watalipia madeni kwa mradi uliyofeli

Zombies of Voodoo Economics​

24krugmanSub-jumbo.jpg

Credit...Bettmann Archive, via Getty Images

Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
Ma engineer na wachumi mwitu katika ubora wenu..
 
Mpaka sasa ni miaka minne na unaingia wa tano, naona kabisa Ile miaka 15 ya kukamilika hiyo reli ni sahihi kabisa.
 
Mpaka sasa ni miaka minne na unaingia wa tano, naona kabisa Ile miaka 15 ya kukamilika hiyo reli ni sahihi kabisa.

..ina maana kwa miaka mingine 10 wataendelea kutuletea hizi stori zao toka site?

..nasikia yule kijana aliyekuwepo awali amesepa sasa hivi kaja mtangazaji mpya.
 
27 August 2021
Dar es Salaam Tanzania

RELI YA MKOLONI YAZIDI KUONESHA UWEZO WAKE, LITA 855,000 ZA MAFUTA ZABEBWA NA TRENI YA MIZIGO YA MABEHEWA 20 YA MAFUTA

Reli ya kati ya mkoloni iliyokarabatiwa Yazidi kuonesha uwezo wake baada ya treni ya mizigo ya mafuta yenye behewa maalum 20 za mzigo wa mafuta wa kupeleka Uganda, imeondoka toka Dar es Salaam kwenda Mwanza ambapo mabehewa yatapakizwa ktk ferry / meli maalum ya mabehewa mjini Mwanza kukatiza ziwa Victoria na kufikia mwisho wa safari nchini katika bandari ya Portbell, Uganda.
Source : TRC RELI TV

Is high speed rail in Australia value for money?​

There is no doubt that the creation of a 1748-kilometre high-speed rail network connecting Brisbane, Sydney, Canberra, and Melbourne is an exciting endeavour. But given the large capital costs - $114 billion - and impact on surrounding communities, as well as its potential positive impact on the economy, a national debate is urgently required. READ MORE :
 
12 September 2021
Stesheni Mpya SGR
PUGU Dar es Salaam,
Tanzania

WAZIRI MKUU MAJALIWA, ZIARANI SGR DAR AKIANZA SAFARI KUPITIA SGR KWENDA KILOSA

Waziri Mkuu akiwa kituo cha PUGU Dar es Salaam akipanda treni ya wahandisi kukagua kazi kipande cha reli ya SGR Dar- Kilosa. Mradi mzima wa SGR Reli una kilometa 1,219 zinazojengwa toka Pwani ya bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam mpaka fukwe za ziwa Victoria jijini Mwanza ukikamilika.
  • Tozo - waziri mkuu awaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na mabaraza ya madiwani kuacha kuwatoza tozo wakandarasi, kwani serikali kuu ndiyo inahusika na mradi
  • November- mabehewa ya treni kuwasili na kuanza kujaribiwa usalama wake ktk reli Mpya ya SGR
  • SGR RELI network kuna mpango mpya kuongeza ifike Kigoma na Mpanda ziwa Tanganyika
  • Mto Mkondoa - bado ni changamoto
  • Bwawa la Kidete - liimarishwe kuzuia mafuriko
Source: TRC RELI TV
 
19 Agosti 2021

TRC RELI YA MKOLONI YAFANYA UBUNIFU WA KIMAPINDUZI KTK KUSAFIRISHA MIZIGO

Baada ya reli ya mkoloni kuweza kubeba mzigo wa aina hii mwaka agosti 2021, wanaweza kujifunza nini zaidi toka kwa shirika la Union Pacific Trains kuendelea kubeba mizigo siyo ya wakandarasi wa SGR tu, bali hata malori na matrela toka kanda za Ziwa za Tanzania. TRC inaweza kuwashawishi wenye malori wafanye kazi kwa ushirikiano kama shirika la Union Pacific kuonesha wenye malori faida ya wenye malori kutumia treni, badala ya kushindania soko wanaweza kufanya kazi kwa pamoja na wote kupata faida. Tazama clip hii na aina ya mizigo inayosafirishwa na Union Pacific huku wakishirikiana na kampuni za usafirishaji wa mizigo:

CALIFORNIA UNION PACIFICS TRAINS NA UBEBAJI WA MIZIGO

19 March 2021

HOFU YA MKURUGENZI WA UWEKEZAJI TIC MRADI WA SGR

MRADI WA SGR TIC YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI
Source : uwekezaji tv

Wenye malori na TRC Reli wafanye kazi kwa pamoja, kwa kutumia reli ya mkoloni iliyopo na hata baadaye hiyo reli Mpya ya SGR itakapikamilika:

Mfano:

The KRC came with concept of RORO, where loaded trucks are moved on wagons and are travelled by train. This has helped in saving of fuels, decrease in wear and tear of lorries (trucks), relief to drivers of driving in extreme conditions, can reach faster to destination. This also helps in decongestion of roads and lowering of pollution. This concept has been beneficial for both truck operators and KRCL.
 
09 November 2021
Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere
Dar es Salaam, Tanzania

MAMBO YAMEIVA SGR MORO - MAKUTUPORA KUANZA MAJARIBIO, NI 75%

  • Mradi wa ujenzi wa reli mpya ya kisasa ya SGR kipande cha Morogoro - Makutupora
  • Testing na commissioning ya vitu na vifaa ktk kipande hicho kuanza mwezi wa December 2021 asema Masanja Kungu Kadogo mkurugenzi mkuu TRC
  • Toka December 2021 Itachukua miezi 3 mpaka sita kwa treni kuanza kubeba mizigo na abiria baada ya mamlaka husika kupitisha usalama na uwezo baada ya testing on completion
  • Hivyo watu wataona majaribio ya testing ktk kipande hicho
  • N.k
Source : TRC RELI TV
 
18 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Vichwa vipya vya treni vyawasili

Waziri Prof. Makame Mbarawa azungumzia mkakati mpya pia Masanja Kungu Kadogosa mkurugenzi mkuu TRC afafanua mipango ya shirika la reli kuboresha huduma. Wadau wa usafirishaji Tanzania nao watia neno.
Source : TRC RELI TV
 
23 November 2021​

MWENYEKITI WA BODI TRC, AELEZA KWANINI MABORESHO YA MGR WAKATI KUNA UJENZI WA SGR

Mwenyekiti wa Bodi TRC Prof. John Wajanga Aaron Kondoro awaambia viongozi na waTanzania umuhimu wa reli ya kati ya mkoloni kwa miaka mingi ijayo.

Profesa John W.A Kondoro, Mwenyekiti wa Bodi shirika la TRC afafanua mradi unaoendelea wa kuiimarisha reli ya kati . Reli ya mkoloni ya MGR inatakiwa iendelee kuboreshwa, ina vituo / Stesheni nyingi zaidi na pia rafiki zaidi kwa mteja ahitimisha kwa kutilia mkazo . Hivyo reli hii ya mkoloni reli ya kati MGR itaendelea kuboreshwa zaidi .

Source : TRC RELI TV
 
18 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Vichwa vipya vya treni vyawasili

Waziri Prof. Makame Mbarawa azungumzia mkakati mpya pia Masanja Kungu Kadogosa mkurugenzi mkuu TRC afafanua mipango ya shirika la reli kuboresha huduma. Wadau wa usafirishaji Tanzania nao watia neno.
Source : TRC RELI TV
Waziri katuzuga sana. Treni za umeme zinakuja November. Na sasa ni December 3
 
Back
Top Bottom