Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohoooo!!13 August 2021
Miradi ya Miundo-mbinu Tanzania kama SGR, NHPP Stiegler's Gorge , Air Tanzania yajadiliwa kwa kina.
Jopo hilo lina jumuisha Dr. Bravious Kahyoza, Prof. Abdul Shareef, Aisha , Rosemary Mwakitwange, Zitto Kabwe.
Asilimia 7% ya ukuaji uchumi, Public spending, Kodi, Uwekezaji, State capture, asilimia 26 ya watu wote ni kundi la masikini hohehahe limeongezeka ( yaani watu 15 milioni)
Je majenzi ya miradi hii mikubwa ni kweli yanabebwa na fedha zetu za ndani sisi waTanzania ?
Source : Nadj Media Center
Uko sawa kwa 100%Miradi hii ikiwemo SGR tayari imefeli katika maeneo nyeti muhimu ya nchi :
- kiuchumi - SGR hautasaidia uchumi
- kimapato -SGR hautaingiza mapato
- kimazingira - haitachochea maeneo SGR inapopita na
- kijamii - wananchi watalipia madeni kwa mradi uliyofeli
Zombies of Voodoo Economics
Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
Opinion | Zombies of Voodoo Economics (Published 2017)
Still eating brains after all these years.www.nytimes.com
23 August 2021
UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA UMEFIKIA ASIMILIA MOJA (1%)
Ujenzi wa kipande cha urefu wa kilometa 341 cha reli mpya SGR baina ya Mwanza mpaka Isaka kimefikia asilimia moja baada ya miezi mitatu tangu umeanza. Mjenzi bado anaendelea kukusanya vya ujenzi huku kambi za wafanyakazi zikiendelea huko wageni 174 toka nje ya Tanzania wameajiriwa na pia zaidi ya waTanzania 1000 wameajiriwa ktk hatua hii ya mwanzo.
Source: TRC RELI TV
..ujenzi uko asilimia 1% tunatangaziwa?
..nadhani hiki kitengo ni kichaka cha upigaji.
'Desperate Times Call for Desperate Measures'
Ma engineer na wachumi mwitu katika ubora wenu..Miradi hii ikiwemo SGR tayari imefeli katika maeneo nyeti muhimu ya nchi :
- kiuchumi - SGR hautasaidia uchumi
- kimapato -SGR hautaingiza mapato
- kimazingira - haitachochea maeneo SGR inapopita na
- kijamii - wananchi watalipia madeni kwa mradi uliyofeli
Zombies of Voodoo Economics
Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
Credit...Bettmann Archive, via Getty Images
Opinion | Zombies of Voodoo Economics (Published 2017)
Still eating brains after all these years.www.nytimes.com
Mpaka sasa ni miaka minne na unaingia wa tano, naona kabisa Ile miaka 15 ya kukamilika hiyo reli ni sahihi kabisa.
19 March 2021
HOFU YA MKURUGENZI WA UWEKEZAJI TIC MRADI WA SGR
MRADI WA SGR TIC YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI
Source : uwekezaji tv
Waziri katuzuga sana. Treni za umeme zinakuja November. Na sasa ni December 318 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Vichwa vipya vya treni vyawasili
Waziri Prof. Makame Mbarawa azungumzia mkakati mpya pia Masanja Kungu Kadogosa mkurugenzi mkuu TRC afafanua mipango ya shirika la reli kuboresha huduma. Wadau wa usafirishaji Tanzania nao watia neno.
Source : TRC RELI TV