kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
MkuuPamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .
Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .
Ngoja tuone .
Hata mimi mnaamini ccm na serikali yake Wana mkono kwenye hiyo ajari. Inakuwaje raisi atangaze fidia na matibabu haraka wakati ajari nyingine hafanyi hivyo? Yaani hata polisi bado hawajafanya uchunguzi wa kujuwa chanzo. Insurance za za vyombo vilivyo husika kwenye ajari havijafanya tathimini ya maafa na uharibifu wa Mali. Tiyari raisi kaisha ahidi fidia na matibabu. Hizo hela za matibabu na fidia zinatoka kwenye budget ipi? Hivi Bima za vyombo vya usafiri ni za kazi gani kama watu wanao Pata ajari wanafidiwa na serikali? Au Bima ni njia za kuibia watu hela kisheria?Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .
Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .
Ngoja tuone .
Hata kama unaongea kuichafua chadema elewa unafanya ushetani.Acheni wafu wajizike wenyewe. Maandamano kama kawaida na yapitie hapo uwanjani.
Kwnn unafhani wna jali utu cdm mwehu tu mdio anawakabali lkn mwnye akili timamu hawez kuwa cdmWala sio njama na nyie Chadema muwe mnatumia akili watu wanaomboleza nyie mnaandamana why?!?????
Anapanga mwenyewe na madereva hewa kisha anapangua mwenyewe aonekane ana busara.Na Mwandishi wetu MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.
Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.
Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.
Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.
----
Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .
Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .
Ngoja tuone.
Soma:
Yaani CCM kuna lipi mnashindwa kufanya ili kulinda vitambi na matumbo yenu?Acheni ujinga ninyi CHADEMA na akili zenu hizo za kihayawani na kinyumbu. Yaani watu wana simanzi na majonzi ya kupoteza wapendwa wao halafu ninyi mnaleta siasa? Hivi mna akili kweli ninyi?
Hivi ni laana au ujinga ndio unawasumbueni? Vipi angekuwa ni mama yako kapoteza maisha? Ungeleta huu ujinga uliouandika hapa? Ungeendelea kuhamasisha maandamano? Acheni ujinga na kuwa na akili za kitoto na kijinga utafikiri mashetani.
Yaani watu wamejaa majonzi na simanzi katika mioyo yao halafu ninyi mnaleta ujinga wenu.mnafahamu simanzi zilizopo katika mioyo ya wafiwa?
Kwahiyo hayo maandamano yenu ya kijinga yana thamani kuliko roho za watu zilizopotea? Kwahiyo miili iendelee kukaa mochwari kwa sababu ya maandamano yenu ya kijinga? Hamna akili kabisa ninyi na hamfai kuitwa binadamu.
Jaribu kuheshimu watu,Usiwaite watanzania wenzako mahayawaniAcheni ujinga ninyi CHADEMA na akili zenu hizo za kihayawani na kinyumbu. Yaani watu wana simanzi na majonzi ya kupoteza wapendwa wao halafu ninyi mnaleta siasa? Hivi mna akili kweli ninyi?
Hivi ni laana au ujinga ndio unawasumbueni? Vipi angekuwa ni mama yako kapoteza maisha? Ungeleta huu ujinga uliouandika hapa? Ungeendelea kuhamasisha maandamano? Acheni ujinga na kuwa na akili za kitoto na kijinga utafikiri mashetani.
Yaani watu wamejaa majonzi na simanzi katika mioyo yao halafu ninyi mnaleta ujinga wenu.mnafahamu simanzi zilizopo katika mioyo ya wafiwa?
Kwahiyo hayo maandamano yenu ya kijinga yana thamani kuliko roho za watu zilizopotea? Kwahiyo miili iendelee kukaa mochwari kwa sababu ya maandamano yenu ya kijinga? Hamna akili kabisa ninyi na hamfai kuitwa binadamu.
Orodha ya majina Iko wapi?Na Mwandishi wetu MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.
Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.
Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.
Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.
----
Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .
Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .
Ngoja tuone.
Soma:
Wewe ni hayawani. Haya nenda kashtakiJaribu kuheshimu watu,Usiwaite watanzania wenzako mahayawani
Wewe ungekuwa na Mama yako ana matatizo ya akili au Baba yako ungefurahi watu wamuite kichaa
Jaribu kuwa muungwana na mstaarabu,Wewe ni mtu mzima mwenye ndevu zako
Baba unaporopoka hovyo utaharibu watoto wako
Na Mwandishi wetu MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe John Mongella amepokea ujumbe wa umoja wa madereva wa daladala Mkoa wa Arusha ambao wameiomba serikali kuwahusisha wadau wa usafirishaji wakati vibali vya maandamano vinapotolewa kwa vyama vya siasa ili kuepusha usumbufu ambao madereva hao wanahofu kuwa utasababishwa na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo kesho.
Mkuu wa Mkoa ameeleza kupokea mapendekezo yote yaliyowasilishwa na viongozi hao wa chama cha madereva wa daladala na kuahidi kufanyia kazi. Hata hivyo ameeleza kuwa maandamano ya Chadema ni kwa mujibu wa sheria na ni kutokana na azma ya Mhe. Rais kuhakikisha shughuli za kisiasa zinafanyika bila matatizo yoyote.
Katika hatua nyingine Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaomba wananchi wote wa Jiji la Arusha na maeneo ya karibu kujitokeza katika shughuli ya kuaga miili ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Mkoani humo siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari 2024 katika eneo la Bypass uelekeo wa Ngaramtoni.
Mkuu wa Mkoa ametoa angalizo kuwa shughuli ya kuaga miili itafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Aidha, ameeleza kuwa shughuli ya kuaga kama ilivyoombwa na viongozi wa dini ni utamaduni ambao ni wa kawaida na hivyo usihusishwe na suala la maandamano kwani vyote vitaweza kufanyika bila tatizo lolote.
----
Pamoja na ukweli kwamba Mkuu wa Mkoa wa Arusha anafahamu kuwa kesho tarehe 27 /02 /2024 ni siku kubwa ya Maandamano ya Amani Jijini humo kwa lengo la kupinga Ugumu wa Maisha pamoja na Miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , lakini ameamua kuifanya siku hiyo pia kuwa ya kuaga miili ya Marehemu wa Ajali .
Ni dhahiri kwamba RC anapanga ratiba hiyo ili kupambana na kujaribu kuvuruga Maandamano ya Wananchi , lakini atashindwa vibaya sana , kwa haya yanayoendelea sisi wengine tunaanza kuitafakari minong'ono ya wadau ya kudai kwamba " Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
Itakuwa Aibu kubwa sana kwa Nchi ikiwa minong'ono hii ina ukweli wowote na kuna Hati hati ya Wananchi kushinikiza baadhi ya viongozi kujiuzulu .
Ngoja tuone.
Soma:
IPO siku itafahamika UKWELI." Huenda ajali hiyo ilipangwa kwa lengo la kuvuruga maandamano "
[/LIST]
ETI MAISHA MAGUMU ,HAHAHAHAHA
HIVI UNAAMINI KUWA WAKINA MBOWE WANAENDA KUANDAMANA BILA KUANDIKA PERDIEM?RUZUKU INATUMIKAJE BILA KUANDAA SHUGHULI YOYOTE KUONYESHA RUZUKU IMETUMIA?
Watu wameshaaga na watakwenda kwenye mazishi wale wanaotaka, ama Kila mtu lazima ashiriki hiyo tarehe iliyopangwa na serekali? Na wale wazungu walioafariki pia watafanyiwa siasa hapo uwanjani?Maandamano yangeahirishwa kuheshimu waliopoteza maisha!!
Mtu mmoja kiongozi akifa mnasimama kazi kwenda kumuaga Leo watu takriban 25 wamepoteza maisha iweje ichukuliwe poa??