Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Mkuu

Inabidi ifunguliwe kesi ya Udhalilishaji Maiti....iweje maiti zimeharibika vibaya zije KUANIKWA uwanjani Huo ni Udhalilishaji...Tupinge kwa nguvu zote!!!!
Maiti zitakazopelekwa hapo uwanjani ni za watu wenye uwezo mdogo Ili zifanyiwe siasa ili kupata ubani wa 1m@. Lakini huwezi kuona maiti za wale wazungu kwenye hiyo kiki ya kisiasa. Cdm waendelee na ratiba Yao kama kawaida, maana hata wakienda hawawezi kupewa nafasi ya kutoa rambirambi rasmi kama chama.
 
ETI MAISHA MAGUMU ,HAHAHAHAHA

HIVI UNAAMINI KUWA WAKINA MBOWE WANAENDA KUANDAMANA BILA KUANDIKA PERDIEM?RUZUKU INATUMIKAJE BILA KUANDAA SHUGHULI YOYOTE KUONYESHA RUZUKU IMETUMIA?
Kwenye ile mikutano ya Makonda, Kila anayejitokeza huwa anapewa perdiem pia?
 
Hivi kipi hapo ni rahisi kuahirishwa, maandamano ama kuaga miili ya marehemu?
 
Huna akili kabisa wewe na chama chako.shetani wakubwa nyie. Angekuwa kiongozi wenu kada hapo ajali ni kutoka kamati kuu mngeendelea na huo utahira? Au mnaona hao walipoteza ndugu zao kuwa hawana thamani mbele za Mungu? Mijinga sana nyie. Mtaendelea kupuuzwa na watanzania siku zote maana hamna akili kabisa
Kule jeshini mtu akifa anaombolezwa kwa kufanya kazi zaidi au watu kuzidisha morali eneo la vita zaidi ndiyo namna sahihi ya kuomboleza.
 

Tanzania Secures Over $90 Million AfDB Funding for Railway Project Linking Burundi and DR Congo​

13:08, 24 February 2024


The railway project forms part of the "Multinational Tanzania/Burundi/DR Congo joint standard gauge railway project," envisioned to foster interconnectivity and enhance commercial relationships among the three countries through modern rail infrastructure.
Sputnik
The Tanzanian government recently inked a 231.3 billion Tanzanian shilling ($91.76 million) financing agreement with the African Development Bank (AfDB) on Friday to kickstart the construction of a modern railway infrastructure aimed at connecting Tanzania with its neighboring nations, Burundi and the Democratic Republic of Congo (DRC).
The initiative is a crucial component of the larger Standard Gauge Railway (SGR) network, which spans from the port of Dar es Salaam to facilitate connectivity through the central transportation corridor with neighboring countries.
The concessional loan agreement will support the construction of railway sections six and seven, linking the regions of Tabora to Kigoma and Uvinza to Malagarasi.

"The contract we have signed today, will strengthen rail transport and improve regional integration and commercial relations between our country and our neighbors in Burundi and the DRC," said Dr. Mwigulu Nchemba, Tanzania's Minister of Finance.
 
26 February 2024
Kilometa zero/sifuri
Stesheni ya Reli SGR
DAR ES SALAAM

Hatimaye toka mwaka 2017 Kipande cha Reli SGR cha kilometa 192 kati ya DSM MORO, TRENI imeanza majaribio


View: https://m.youtube.com/watch?v=X3c0fgbeM1U

Ikiwa imepita miaka takriban 7 toka jiwe la msingi kuwekwa kuashiria ujenzi wa reli mpya ya SGR, leo treni ya majaribio imeanza majaribio yaani testing kungalia mfumo / system kuwa mambo yamekamilika kipande cha mwanzo kutoka Dar es Salaam hadi mji kasoro bahari wa Morogoro umbali wa kilometa 192 baina ya Dar es Salaam na Morogoro.

Testing hii itahusisha mabehewa 4 yanayovutwa na kichwa kimoja cha treni yaani locomotive amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la reli Tanzania bwana Masanja Kungu Kadogosa.
 
Maiti zitakazopelekwa hapo uwanjani ni za watu wenye uwezo mdogo Ili zifanyiwe siasa ili kupata ubani wa 1m@. Lakini huwezi kuona maiti za wale wazungu kwenye hiyo kiki ya kisiasa. Cdm waendelee na ratiba Yao kama kawaida, maana hata wakienda hawawezi kupewa nafasi ya kutoa rambirambi rasmi kama chama.
Heshimu maisha ya watu Acha madharau ya hovyo,ninyi ndiyo hufanya iyo chadema ionekane ya wasiojitambua,WAHUNI na watafuta nafasi tuu
 
Ngaramtoni si my hood mchovu sikia hizi swaga.
 
Heshimu maisha ya watu Acha madharau ya hovyo,ninyi ndiyo hufanya iyo chadema ionekane ya wasiojitambua,WAHUNI na watafuta nafasi tuu
Narudia tena, hakuna mtu mwenye uwezo angekubali mpendwa wake akalazwe hapo uwanjani ili kusaka ubani wa 1m. Wote waliokubali ndugu zao kwenda kufanyiwa siasa hapo ni walala hoi. Hutaki nilichosema jinyonge. Mimi sio msemaji wa cdm, kwahiyo ukitaka kuihusisha cdm na maelezo yangu wahusishe kimpango wako, lakini habari ndio hiyo.
 

25 MARCH 2024​

MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA MIUNDOMBINU YA RELI NCHINI​


news title here



Shirika la Reli Tanzania - TRC limefanya mkutano na wahariri pamoja na waandishi wa habari katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salaam Machi 25, 2024.

Mkutano huo ambao ulilenga kuelezea mapinduzi yaliyofanywa na Serikali ya Jamuhuri wa muungano wa Tanzania katika sekta ya miundombinu ya reli Tanzania na katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkurugenzi Mkuu TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa alieleza kuwa TRC inaendelea na ukarabati wa njia ya kati kupitia mradi wa 'Tanzania Intermodal and Rail Development Project - TIRP'.

“Mtandao wa reli umegawanyika katika kanda tatu, ambazo ni ukanda ya Kati, ukanda wa Kusini na ukanda wa Kaskazini” alieleza Ndugu Kadogosa.

Vilevile Ndugu Kadogosa alisema kuwa TRC inaendelea na ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kwa awamu ya kwanza inayojumuisha ujenzi wa mtandao wa reli wenye jumla ya kilomita 1,219 kutoka Dar es Salaam - Mwanza.

“Ujenzi huu wa SGR utakua moja ya nyenzo kubwa katika sekta ya uchukuzi nchini” alieleza Ndugu Kadogosa.

Aidha, Ndugu Kadogosa alieleza kuwa Serikali imekuwa ikiweka msukumo wa kibajeti wa utengaji rasilimali fedha ili kuhakikisha ujenzi wa miundombinu ya reli unatekelezwa na kukamilika kwa wakati.

“Wakati Mhe. Rais anaingia madarakani, kwa upande wa reli alikuwa muwazi na kuahidi kumalizia kipande alichokikuta na kuendeleza vipande vingine” aliongezea Ndugu Kadogosa.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano kutoka TRC Bi. Jamila Mbarouk alitoa shukurani kwa wahariri na waandishi wa habari kwa kufikisha taarifa sahihi za miradi inayotekelezwa na TRC pamoja na maendelo yanafanywa na serikali ya awamu ya sita katika sekta ya reli.

“Watu wa tasnia ya habari ni mabalozi sahihi wa kufikisha taarifa kwa umma, TRC inathamini mchango wenu kwa kuweza kuhakikisha taarifa zinafika wakati sahihi kwa umma kwa kudumisha maendeleo ya taifa letu” alisema Bi. Jamila.

Mhariri Mkuu wa Africa Media Group Limited Bi. Esther Zelamula ambaye amewawakilisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini alisema kuwa jukumu la wana habari ni kushiriki kikamilifu katika kutangaza mazuri yanayofanywa na Serikali pamoja na Shirika la reli.

“Vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa Dola, hivyo vina umuhimu mkubwa kwa umma na hatuna budi kuwa na uzalendo” alisema Bi. Esther.

Hata hivyo TRC linaendelea na ununuzi wa vitendea kazi kwaajili ya uendeshaji na ukarabati wa reli ambavyo umegawanyika katika makundi matano ikiwemo ununuzi wa vichwa vya umeme (Electric Locomotive) 19, Seti za treni ya umeme (Electric Multiple Unit) 10, mabehewa ya abiria 59, mabehewa ya mizigo 1,430 pamoja na mashine na mitambo 24 ya matengenezo ya njia ya SGR.

View: https://m.youtube.com/watch?v=YXvOuBZhtq0
Sources : tovuti ya shirika la reli / trc reli tv
 
Wadau wa kutoka nchi 7 za wadau Ushoroba wa Kati Central Corridor wakutana na kujadili mambo mazito


View: https://m.youtube.com/watch?v=UPxzAM9rBEo
Walituma watu kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ushoroba mzima wa kati .

Ben Mwanantala yupo pamoja na ujumbe wa wadau hao kutuonesha kinagaubaga yaliyojiri ndani ya mkutano

Utendaji wa ushoroba kuanzia bandarini reli na mipakani hali ipoje na changamoto mbalimbali

Miundo mbinu inayoimarishwa hasa Tanzania nchi inayobeba uzito mkubwa matumaini ya Ushoroba wa Kati kwa nchi hizo saba ikabidi tena wafike kuona SGR RELI mpya kituo kikuu cha reli Tanzania Tanzanite Dsm, kituo cha Pugu na kusisitiza reli ni network yaani muunganiko wa matawi yote na vipande vyote vya reli ili ufanisi wa juu kabisa ufikiwe .....


17 April 2024

REGIONAL CENTRAL CORRIDOR STAKEHOLDERS’ CONSULTATIVE COMMITTEE (STACON) MEETING IN DAR ES SALAAM, TANZANIA

1715331685204.png

The Central Corridor Stakeholders Consultative Committee (STACON) Meeting took place from April 16th to 17th, 2024, at the JOHARI ROTANA Hotel in Dar es Salaam, Tanzania.

Attendees included representatives from various public and private sectors across CCTTFA member States dealing with trade, industrialization, and transport. Additionally, the meeting saw the participation of CCTTFA’s new members, Malawi and Zambia, as well as officials from GIZ and AUDA NEPAD.

The STACON meeting is an important platform for participants from various sectors to collaborate to address key challenges and explore opportunities for the development and enhancement of the Central Corridor.

The meeting focused on the Central Corridor Transport Observatory Performance Report 2023 and the Countries’ priority actions and projects aimed at overcoming logistical obstacles, streamlining trade procedures, and optimizing the corridor’s efficiency and efficacy.

The inclusion of Malawi and Zambia, as newcomers to the CCTTFA, represents a notable milestone in expanding the scope of regional cooperation. Their presence signifies an increasing acknowledgment of the Central Corridor’s potential to foster economic growth and promote deeper integration among neighboring nations.

On 17 April 2024, STACON participants were given the chance to experience a journey on the newly constructed Electrified Standard Gauge Railway, a project underway by the Government of the United Republic of Tanzania, spanning from Dar es Salaam to Morogoro.

The participants expressed appreciation for this significant infrastructure advancement and urged fellow member states to explore potential links with the Tanzania SGR

Source : central corridor
 
14 June 2024

TRC YAFANIKIWA KUSAFIRISHA ABIRIA KIPANDE CHA DAR ES SALAAM MOROGORO RELI MPYA SGR


View: https://m.youtube.com/watch?v=G5nTIS_8RyQ
Katika kusheherekea mafanikio ya kuanza safari za treni za SGR ,Dar es Salaam - Morogoro na Morogoro - Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewalipia nauli wasafiri wote waliosafiri safari ya kwanza Juni 14, 2023.

Akiongea wakati wa safari ya Kwanza ya treni ya SGR kutoka Dar Es Salaam - Morogoro Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema kuwa Mhe. Raisi Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele katika kuendeleza ujenzi wa miradi ya Kimkakati ikiwemo SGR katika kuleta mageuzi ya kiuchumi haswa kupitia sekta ya Uchukuzi .

"Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipoingia madarakani wengi tunafahamu tulikuwa na ujenzi wa reli mpya SGR kipande cha kwanza na kipande cha pili pekee, leo tunapozungumza tunaona kipande cha kwanza Dar es Salaam - Morogoro safari zimeanza hili ni jambo la kihistoria.

Kwa furaha hiyo wakati tunatoka Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametuelekeza na Mkurugenzi wa TRC ashaanza kutekeleza wale watakaosafiri kwa leo watasafiri buree, kwa mliosafiri leo Rais amelipia" amesema Kihenzile.

Aidha, Mhe. Naibu Waziri amesema kuwa watanzania wanatakiwa kujivunia na kuanza kuona fursa za kiuchumi zilizoko kupitia reli mpya ya SGR na kubuni mbinu za kibiashara kati ya Tanzania na nchi tunazopakana nazo Kama Demokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Uganda, Malawi na Zambia.

"Kwa bara la Afrika reli yetu mpya ya SGR ndio reli ndefu kuliko zote, Duniani tumeshudia mataifa kama China ambao wana takribanI kilomita 40,000 za SGR, wenzetu Hispania wana kilomita takribani 39,000, Japan wanatakribani 37,000 na Ufaransa wana kama kilomita 27,000 za ujenzi wa reli SGR zinazofanya kazi , baada ya hapo nchi inayofuata ya tano ni Tanzania yenye takribani kazi ya ujenzi wa mfumo wa reli mpya SGR unayoendelea ukikamilika utakuwa jumla ya kilomita 2,102.

Tanzania kwa Afrika ndio nchi pekee inajenga reli ndefu na ya bei nafuu na ya kisasa" alisema Mhe. David Kihenzile.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewataka Watanzania na Wanamorogoro kwa ujumla kutumia usafiri wa Treni ya Kisasa ya SGR ili waweze kuongeza ufanisi katika uzalishaji haswa katika sekta ya Biashara.

"Ushahidi nimeona leo, watu wameondoka Dar es Salaam saa kumi na mbili kamili asubuhi na Saa mbili kasoro dakika kumi (07:50) wako Morogoro, kwa mwendo ukilinganisha na aliyeondoka na basi saa 12 asubuhi Dar es Salaam, saahizi atakua anaitafuta Mlandizi hata Chalinze hajafika, kwamba kwenye muda (time Factor) kuna watu wengi watakua wanaaweza kutoka Dar es Salaam anafika Saa mbili Morogoro na Saa Kumi na mbili jioni anarudi Dar es Salaam anapata masaa kumi ya kufanya Biashara" amesema Mhe. Malima

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kungu Kadogosa ameidhinisha kuanza rasmi safari za treni za SGR kipande cha kutoka Dar es Salaam - Morogoro ikiwa na mabehewa 14 ambapo 11 ni ya daraja la kawaida na matatu (3) ya daraja la Biashara.

"Leo tumeanza rasmi safari za kipande cha Dar es Salaam - Morogoro, kuna ofa ambayo imetolewa na Mhe. Rais, kama mlivyomsikia Naibu Waziri kwamba wasafiri wetu wamelipiwa na Rais kwa safari hii ya kwanza kwasababu ni jambo kubwa katika Taifa Letu" amesema mkurugenzi Kadogosa.

Safari za awali za treni za SGR zimeanza rasmi kipande kati ya Dar es Salaam na Morogoro Juni 14, 2024 ikiwa ni maandalizi ya kuanza rasmi kwa safari hizo Kati ya Dar es Salaam na Dodoma ifikapo Julai 25, 2024

Sehemu hii ya kipande cha kwanza ya reli mpya ya SGR ya Tanzania inayotumika ina urefu wa kilomita 300 kutoka mji wa Dar es Salaam hadi Morogoro.



1718428328269.png
 
Dah Tz kuna wataalamu wa michongo sana, sasa huyo mhandisi ukimpa projekti c anaweza kukulisha hasara mwanzo mwisho
 
Dah Tz kuna wataalamu wa michongo sana, sasa huyo mhandisi ukimpa projekti c anaweza kukulisha hasara mwanzo mwisho

Mhandisi anatoa matarajio ya makisio ya kitaalamu ya uzito wa kazi, upatikanaji wa mikopo nje ndani, uwezo wa bajeti ya ndani ya nchi kuhimili kuchangia ujenzi, majanga mtambuka kama COVID, mvua za el Nino, ari ya wafanyakazi na masuala mengi katika mradi mkubwa wa dizaini hii ukamilike DSM hadi Tabora Kigoma na mchepuko wa Tabora hadi Mwanza.

Kasi ya ujenzi wa kipande cha reli mpya SGR kati ya Dar es Salaam hadi Morogoro ilivyokuwa hadi kumalizika kwake June 14 2024 ilipoanza kazi rasmi.

Mradi ulianza mnamo mwezi Aprili 2017 ambapo awamu ya kwanza, ujenzi ulianzia Dar es Salaam mpaka Morogoro kwa umbali wa Kilometa 300 (maili 186) hivyo kutumia miaka takribani 7 kukakamilika.
 
Mradi wa Ujenzi wa Reli ya kisasa SGR katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Maelezo ya kina yakiambatana na kazi data:

Reli ya kati kwa kiwango cha kisasa ni mfumo wa reli unaojengwa ambao unaunganisha Tanzania na nchi jirani za Rwanda, Uganda, Burundi, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Malengo

Malengo ya mradi ni kupunguza gharama za usafiri, kupunguza muda wa kusafiri, ufikiaji rahisi kwa huduma mbalimbali za jamii kwa jumuiya ya eneo la mradi na uwezeshaji wa biashara kati ya Tanzania na nchi za jirani.

Njia hii ya reli yenye jumla ya 1,435 mm (4 ft 8 1/2 in) inalenga kurahisisha usafiri wa bidhaa kati ya bandari ya Dar es Salaam na miji ya Kigali, nchini Rwanda na baadaye Bujumbura, Burundi, na Goma, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kutoka bandari ya ziwa Victoria katika Jiji la Mwanza, feri zinatarajiwa kusafirisha bidhaa kati ya Mwanza na Port Bell na Port Bukasa, Kampala, mji mkuu wa Uganda. Reli hii ya SGR inatarajiwa kutumiwa na treni za abiria ambayo inatarajiwa kusafiri kilomita 160 (99 miili) kwa saa na treni za mizigo kusafiri kilomita 120 (75 mi) kwa saa.

Ujenzi wa Reli na Maeneo itakayopitia

Mradi ulianza mnamomwezi Aprili 2017 ambapo awamu ya kwanza, ujenzi ulianzia Dar es Salaam mpaka Morogoro kwa umbali wa Kilometa 300 (maili 186). Reli hiyo inaanzia katika bandari ya Bahari ya Hindi, Dar es Salaam hadi katika pwani ya Mwanza kwenye Ziwa Victoria ili kuunganisha nchi jirani.

Reli inapitia katika maeneo yafuatayo: Dar es Salaam, Morogoro, Makutopora (Dodoma), Tabora, Isaka (Shinyanga), Mwanza, Rusumo (Kigali,Rwanda), Bunjumbura (Burundi), Goma (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) na Kampala (Uganda).

Hatua za Ujenzi

Mfumo wa reli utakuwa na sehemu kadhaa kuu:

Sehemu ya Dar es Salaam - Morogoro

Sehemu hii ina kilomita 300 (186 mi), Ujenzi ulianza Aprili 2017, na unaendelea kwa kujenga nguzo pamoja na kuweka mataluma.

Sehemu ya Morogoro-Dodoma

Kuanzia Morogoro kwenda Makutupora, mji mkuu Dodoma, una urefu wa kilomita 426 (265 mi).

Sehemu ya Dodoma-Isaka

Sehemu hii ina umbali wa kilomita 435 (270 mi), kutoka Makutupora, Dodoma, hadi Isaka, Tabora

Sehemu ya Isaka-Mwanza

Sehemu hii ina umbali wa takriban kilomita 220 (137 mi), inapitia jiji la Mwanza, kwenye mwambao wa kusini mwa Ziwa Victoria.

Sehemu ya Isaka-Rusumo

Hii ni sehemu ya Reli ya Kigali, ina umbali wa kilomita 371 (231 mi).

Fursa

Kuna nafasi za kazi kwa wahandisi, wafanyakazi wa kawaida na madereva na pia biashara kama vile za Mama Lishe, wafanyabiashara wadogowadogo (Marching Guys), bidhaa za viwandani n.k . Wahandisi na madereva wanapaswa kujiandikisha ili kupata fursa hizo pamoja na wafanyakazi wa kawaida wanapaswa kufikia eneo husika la mradi ili kupata fursa.


Hali ilivyo sasa

Hivi sasa, Awamu ya Tatu ya utekelezaji wa Reli ya kati kiwango cha kisasa ambayo inatoka Makutopora, Dodoma mpaka Tabora umefikia katika kiwango cha juu cha maandalizi. Utafiti umekamilika na Ujenzi kuanza hivi karibuni.


Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa hadi sasa umeshatoa Ajira kwa Watanzania 3,526 (Kati ya hizo, nafasi 2,328 ni Ujuzi wa Juu, nafasi 485 Ujuzi wa Kati na nafasi 713 Ujuzi wa Chini) dhidi ya Ajira 255 za Wageni (128 Ujuzi wa Juu na 127 Ujuzi wa Kati). Aidha, Mradi wa TIRP (Tanzania Inter Modal and Rail Development Project) ambao ni kama Sub Project ndani ya Mradi wa SGR umetoa Ajira 1,129 kwa Watanzania (233 Ujuzi wa Juu, 85 Ujuzi wa Kati na 811 Ujuzi wa Chini) dhidi ya Wageni 152 ambao wote wana Ujuzi wa Juu.

Source : mradi.uwezeshaji. Tanzania
 
25 June 2024

🔴#LIVE : NILIMUACHIA MAGUFULI AENDELEZE MRADI WA RELI YA SGR - JAKAYA KIKWETE


View: https://m.youtube.com/watch?v=46vpJFkkBzQ

Anaongeza kuwa mradi wa Reli ya SGR Mpya ambao yeye Jakaya Kikwete aliuasisi huku Samwel Sita, Prof. Makame Mbarawa na John Magufuli wakiwa mawaziri chini ya utawala wa awamu ya nne ya uongozi wa Jakaya Kikwete.....

Tulitambua kuwa mradi wa thamani ya dola bilioni 7 za sarafu ya kimarakeni ni mzigo mzito ambao hauwezi kubebwa na serikali yoyote bila kukopa fedha kutoka vyanzo mbalimbali vya nje na vya kimatsifa asema Jakaya Kikwete katika mahojiano haya exclusive na media ya Wasafi Media TV ...
 
Back
Top Bottom