GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Uko sahihi Mkuu huyo Mhariri nae yuko Ziarani huko yaani Kaambatana nae huko nchini India.Huenda na yeye alikuwemo ndani ya ndege, hebu nenda ofisini kwake kawaulize kama yupo nchini.
Mnamjua Naoe nyie?Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
Labda Tz ya kule Kizimkazi...🤣Niko kwenye foleni Namanga, nimeona bango limeandikwa mama anatoa billion 100 kila mwezi kushusha bei ya mafuta, nimecheka sana!
Tz bwana!
Siku zote mwandishi akigharamiwa na "subject" lazima ampambe kwa hali na mali, nakumbuka kuna waandishi waliachwa mahali wakalalamika kuwa wao wanawapamba lakini wanaopambwa hawawajali!Uko sahihi Mkuu huyo Mhariri nae yuko Ziarani huko yaani Kaambatana nae huko nchini India.
Huenda walitishwa kuwa kama Wasipompamba basi kila Mtu ( Mwandishi ) ajitegemee kwa Nauli ya Kurejea Tanzania la sivyo watarudi kwa Miguu from Bombay to Dar es Salaam hivyo wakaona Wajiongeze kwa Kujipendekeza huko Kishamba, Kiuwongo na Kipumbavu.
Wakati ndiyo kwanza tunanunua Petroli shilingi 3,489.53/Lita huku nilipo 🙌Niko kwenye foleni Namanga, nimeona bango limeandikwa mama anatoa billion 100 kila mwezi kushusha bei ya mafuta, nimecheka sana!
Tz bwana!
Unastahili kufanya hivyo kwa baraka zote kabisaNa ndiyo maana Nazidharau sana tu.
Ma editor vibwengo ndio hao, ni aibu kufananisha vimtu na mtuRais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
View attachment 2778437
Gentamicin usiwalaumu waandishi baba. Njaaa kali bila ivyo ivyo watoto walishapatwa na kwashiorkor na wanaelekea kufa bila kuandika ivyo wanakufa na njaaaRais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
View attachment 2778437
Tunazingatia maokoto!Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
View attachment 2778437
Umekuwa kasuku ? !! [emoji44]Kweli popoma umenena ukweli
Kufananisha Nyerere na Samia ninkukufuru
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44]Ma editor vibwengo ndio hao, ni aibu kufananisha vimtu na mtu
Huyu hata angepewa PhD hafai hata kumfananisha na DC wa Hai Aliye pita.Huwa nahusudu sana nyuzi zako ila kwa huu uzi umeteleza!
Rekodi aliyoifikia hujaitaja ili tuipime ni kweli ama si kweli.
Nyerere alitunukiwa PhD huko lndia na huyu kafanyiwa hivyo hivyo je hii yaweza kuwa ndiyo Majira waisemayo?
Sijalisoma gazeti.
Unawahukumu vibaya kwa kichwa cha habari tu ?!! [emoji44][emoji1787]Gentamicin usiwalaumu waandishi baba. Njaaa kali bila ivyo ivyo watoto walishapatwa na kwashiorkor na wanaelekea kufa bila kuandika ivyo wanakufa na njaaa