Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

Kilichokukera hapo nini? Nyerere kaweka rekodi ya kupewa shahada ya heshima hapo, Mama Samia kaifikia hiyo rekodi.

Tatizo ni nini?
 
Kilichokukera hapo nini? Nyerere kaweka rekodi ya kupewa shahada ya heshima hapo, Mama Samia kaifikia hiyo rekodi.

Tatizo ni nini?
Tatizo ni muislam kumfikia mgalatia, basi hakuna zaidi ya chuki na roho mbaya,

nyerere wala hasemwi kwa kupewa hayo matuzo, ila samia sasa dahhh
 
Tatizo ni muislam kumfikia mgalatia, basi hakuna zaidi ya chuki na roho mbaya,

nyerere wala hasemwi kwa kupewa hayo matuzo, ila samia sasa dahhh
Tena mama Samia kavunja rekodi, kama ilimchukuwa nyerere miaka 24 kupewa hiyo heshima, Mama Samia imechukuwa miaka miwili na na nusu tu kutunukiwa.

Mwandishi kawa kidogo "conservative".
 
hakuna kitu huwa nacheka kama nikiona unaitwa popoma

yaani jina umelileta wewe ila ndo linakugeukia hahhaahah
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ila hii nchi ina vituko sanaaa...kwamba kafikia level ya nyerere aiseee uchawa promax plus huu
 
Nyerere alijenga shule gani ya sekondari!?..Kuna kubwa kwa nchi kuzidi elimu?..hiyo njaa na viraka ndo usiseme
Mtu wao hakuna alichofanya ila wanapambana kumpamba wakidhani watu ni wajinga?

Acheni waadilifu wawatumikie mfaidi dunia wadini wakubwa nyie
Ni juzi tu hapa mlikua mnalia kama watoto na huku kiongozi akiwa wenu
 
Waandishi wa habari wa Tanzania wameshastaafu kitambo, hawa waliopo hivi sasa ni mamluki tu, wengi wao wanafanya hivi (kusifia ujinga) ili wapate nafasi serikalini. We angalia tu kwa makini haswa huko kwenye mitandao ya kijamii, yaani ni ujinga juu ya ujinga. Rais anatembea barabarani akipungia watu mikono wapambe eti nao wanamsifia kwa kupungia mkono wananchi.
 
Na ndiyo maana Nawadharau na nitaendelea tu Kuwadharau Mkuu. Media ninayoipenda na Kuiheshimu ni ya Kenya tu pekee kwakuwa Waandishi wa Habari wa Kenya Wanajitambua vilivyo Kimaadili na Kiuweledi tofauti na hawa wa Kwetu wenye Upumbavu ( Upopoma ) mwingi sana.
 
Mwalimu Nyerere alipigania uhuru, japo aliwahi sana ilitakiwa hadi leo nchi itawaliwe na waingereza.

Ngoja niishie hapa
 
Bahati nzuri niliishaacha siku nyingi kusoma, kusikiliza na kuangalia bongo media
 
True, waandishi wa Kenya na Uganda wako tofauti sana na hawa wa kutafuta fursa ili waibe (wa kwetu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…