FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kilichokukera hapo nini? Nyerere kaweka rekodi ya kupewa shahada ya heshima hapo, Mama Samia kaifikia hiyo rekodi.Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na kuendekeza Njaa namna hii?
Hivi ukiwa na Akili timamu unaweza Kufananisha Mafanikio makubwa na ya Kihistoria ya Mchezaji Hayati Pele na Mafanikio ya hivi karibuni ( ya muda mfupi ) ya Mchezaji Novatus Dismas na kusema kuwa kamfikia Nguli Pele?
Kumbe GENTAMYCINE ninapoidharau Media ya Tanzania huwa sikosei na huwa nipo sahihi 100%.
Hovyo kabisa......!!
View attachment 2778437
Tatizo ni nini?