Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Nime

Mshana tafuta movie hizi mbili

Age of darkness ya mel gibson

Na

Work of death ya van damme

Ziangalie alafu fuatilia hili tukio
Edge of darkness.......Binti wa Mel Gibson alikua anafanya kazi kwenye chemical plant, akauliwa, kwakuwa alikuwa ana siri kubwa kuhusu hiyo plant na alikuwa ana plan ya kui expose kwa public.

Mwisho baba nae alikufa.

Hii case nayo ni same scenario? [emoji848]
 
Acha kabisa! Aliamua tu kumsitiri mumewe, maana hawakuja kuvamia ili waibe! Na tukio linatoke kulikua na watoto wake mmoja wa kiume ni rika sawa na mimi hivyo ilikua ni patashika nguo kuchanika[emoji26]
Dah kwahio mzee aliliwa kiboga au ilikuwaje?
 
Huyo demu alipigwa shot ya sumu. Kisha wakamchoma ili kupoteza ushahidi. Sema nashindwa kuelewa ni kwamba walimteka tokea kanisani au relationshipa ya hio Camera na kanisa ikoje?
 
I'm doing my home-work.
Kwanini wamchome moto akiwa hai?
Aliwezaje kufanikiwa kuwatoroka?
Je walipomteka walimtoa fahamu kwanza, wakaamini wameshamuua ndipo wakaenda kumchoma moto, na kuondoka? na hivyo moto ukamzindua na kuanza kukimbia?

Au, walimchoma moto akiwa hai na kumuacha afanikiwe kutoroka ili aweze kuongea maneno yatakayopelekea upeleleza kuhama mbali kabisa na sababu ya tukio hilo na kuwaelemea wengine?

Waliofanya tukio hili are very professional events planners and killers, nawwza nikathubutu kusema waliofanya tukio hili hawatokei ndani ya mipaka ya nchi yetu.
 
Kumbe Mzee ni dr.


Inaonyesha walikaa naye Kwa muda na ukiangalia Kuna mengi sana juu ya hiki kifo
Mzee kaongea kimafumbo KWA sisi wazee wa codes mzee anajua 40% kuhusu possible ya chanzo, afungue tu codes na watu wa intelligence ni rahisi kumpata muuaji, then Hakuna kumpeleka mahakamani akashinde. Anatendewa the same.

Wazungu waliheshimu Sheria baada ya kulipizana Sana visasi. Wakaogopa kumalizana ndipo wakapata civilization. Ilikuwa ni jino KWA jino.
 
Hawa wajinga hawajui hayo maneno yalivyo na athari kubwa baadaye. Chukihuanza kidogokidogo kwa mambo kama hayo na hatimaye kuwa tatizo. Umeeleza vizuri sana, wapo wanaoyaweka moyoni kidogokidogo siku mambo yakilipuka Watu wanashangaa kumetokea nini. Vijana waache ujinga wa kutumia hilo neno la Sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…