Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu eleza kwa undani zaidiHumu kila mtu anaongea lake, lakini huyo dada aliyekuwa mchumba wake ni rafiki yangu sana wamekuwepo kwenye mahusiano kwa miaka sita na mwaka huu ndiyo walikuwa wamepanga waoane.
Humu kila mtu anaongea lake, lakini huyo dada aliyekuwa mchumba wake ni rafiki yangu sana wamekuwepo kwenye mahusiano kwa miaka sita na mwaka huu ndiyo walikuwa wamepanga waoane.
Duuuh kumbe wahasibu wanapitia magumu hivi?? TobaaaaaahUNKNOWN SOURCES/SIJATHIBITISHA
Inasemekana alinayehisishwa na kifo chake ni Boss wake …
Aliaambiwa afoji check ya 1B isemekane imeandikwa kimakosa ili hiyo hela isionekane Bank .. Lakin Binti alikataa..
Boss alimsumbua akakosa amani akaomba ruhusa kuja Kibaha kuisalimia familia yake .. Lakin alikuwa akiwasiliana na Mchumba wake nakumpa taarifa hizo..
Alipokuja Kibaha alimshirikisha Baba yake Mzazi ambaye ni Doctor Mkuu Mwimbili Dar. Siku chache kurudi nyumban Boss wake alimpigia Baba yake huyo Binti kumtaka amwambie mwanaye aache kazi ndani ya masaa 24 . Baba ake akahoji kwakosa gani mwanangu alilolifanya?
Lakin siku ya pili alipigiwa simu na mmoja wa wafanyakazi wenzake Kahama kumjulisha wamekuja Dar kikazi wanapita kibaha wamsalimie… According to that .. Alipokea simu kwamba wamefika wakutane alipotoka ndyo hakurudi tena ..
Kupelekwa porini na kuchomwa moto na sindano za sumu .. Alijitahidi kujikongoja mpka eneo la makazi ya watu .. Nakuonba msaada apigiwe simu Baba ake .. Toka hapo alikata kauli na kukimbizwa Mwimbili.. na siku chache kuaga dunia..
Inasemekana Boss wake ameshakamatwa sheria itafata mkondo wake ..
Mungu ailaze roho ya marehemu Martha [emoji17].
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Huyu Martha Towa aliungua tarehe 3,March,akapelekwa hospitali. Amekufa tarehe 9. Kwa hiyo presumably alikuwa anazungumza na polish. And yet polisi wanasema hiki kifo ni utata mtupu.
Habari mbaya hii kumteka mtu wa kitengo cha pesa na kumpoteza Mungu wa mbinguni asimamie ili haki ipatikane hata kama huyo mwasibu alikuwa anavunja ndoa za watu lakini haki ipatikane.
Nani kakudanganyaKweli kelphin sio rais wa Tanzania
Wangejua hawajui
Ukiuwa utakufa kifo kibaya mala mbili yake
Yaan hao ningewachomoa kiungo kimoja kimoja
Kama alikataa kidhinisha miamala ya mabilioni ya hela zilizopindishwa kona kutoka MSD ili ku subsidize bei za madawa, bado tumwite MKUDA ?Cheo dhamana! Unaweza kuta alikua mkuda
Unafikiri First world ndio amnaKama alikataa kidhinisha miamala ya mabilioni ya hela zilizopindishwa kona kutoka MSD ili ku subsidize bei za madawa, bado tumwite MKUDA ?
Nimeanza kuamini kwamba huku third world we don"t have what it takes to be developed. We just dont have the right mentality to get there.
Sio hatuna akili, hapana, hatuna mtazamo au the right mentality inayotakiwa. Baada ya kukaa sana Ulaya nilikuja gundua tabia yao moja inayowasukuma ni UNOKO. Wao wangesema moral principles.
Dah[emoji24][emoji24] huyu dada namjua nilishamkuta BOA kahama alikuwa na kigari flani kama sikosei ni ractis nyeupe aiseee polisi wachunguze kwann mwanamke achomwe moto Bora angekuwa mwanamme tungesema hata labda alidhurumu, REST IN PEACE TOWA
first world ndio 'amna' nini ?Unafikiri First world ndio amna
Huyo ndio mbongo halisiUmesoma vizuri eneo lilipotokea tukio?
Kunawatu ni weupe kiupeofirst world ndio 'amna' nini ?
Huyo mzee atakuwa anajuwa vitu vingi...Kumbe Mzee ni dr.
Inaonyesha walikaa naye Kwa muda na ukiangalia Kuna mengi sana juu ya hiki kifo