luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
R.i.p mwana Kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo vyenye utata vya ugoni, Samia hahusiki navyo.Huyu anayehusika na utekaji na mauaji yanayoendelea ni wakala mpya au ndio huyohuyo unayemjua wewe?!
View attachment 2547596View attachment 2547597
Wewe mbwiga Sukuma Gang siyo kabila ni wafuasi wa yule Mhutu mwovu aliyeko motoni. Usikurupuke.Tz hatuna ukabila , wewe unataka turudisha miaka ya 1960s , Hv upo timamu kwel ? au mnatumwa kuja kutugawa watz moderator piga ban wanaoleta ukabila ktk jamii , Unamchukia mtu na wafuasi mhit direct sio kutumia term ya kikabila
Huyu Ni mahusiano na alivyokuwa huko shy Kuna wanaume Wana hela na wanapenda ke nyeupe pia kumbuka dada Ni mchaga watanguliza hela,hapa atakuwa aligharimikiwa ama alikula hela za kidume fulani na kuahidiana kuona kumbe alikuwa anatumiwa tu so may be jamaa akamaindiIsije ikawa issue za mapenzi
Ova
Nyie wenyewe mliomuua hamjakubali kama kafa bado sembuse sisiHivi itawachukua miaka mingapi kukubali kwamba mwendazake hayupo and you need to live your life?
Mkuu,hebu jaribu kumsikia baba yake alipotoa hotuba yake wakati wa kuuaga mwili wa binti yakeHuyu Ni mahusiano na alivyokuwa huko shy Kuna wanaume Wana hela na wanapenda ke nyeupe pia kumbuka dada Ni mchaga watanguliza hela,hapa atakuwa aligharimikiwa ama alikula hela za kidume fulani na kuahidiana kuona kumbe alikuwa anatumiwa tu so may be jamaa akamaindi
Na wizi wa magari umeanza tena
JamaniiiiMkuu,hebu jaribu kumsikia baba yake alipotoa hotuba yake wakati wa kuuaga mwili wa binti yake
Mzee kaongea mambo fulani
Na nam nukuu "waliyofanya kitendo kile jamaa walikuwa proffesional killers"maana kwa suala la moto kuunguzwa Angelina,sema walimuaribu Figo so kilichomua ni tatizo la Figo
Ova
Ni wapi na nani alithibitisha kama vifo vya watu hawa vinauhusiano na ugoni ikiwa polisi wenyewe hawajawakama watuhumiwa?Vifo vyenye utata vya ugoni, Samia hahusiki navyo.
Jiwe alikuwa anaua, anateka, anapora na kupiga watu risasi
Idiot!maskin wa hoja ushamia kwey vilevi? jikite kwenye hoja
Uchungu mbaya utamjia atakapomaliza mazishi na kurejea kwakeMzee kaongea kiufasaha
Aise mzee yuko strong sana
Ova
Halafu huko Mitamba kwa ishu za mauaji ndio kwenyeweWakifatilia simu muuaji atapatikana
Bashite alitoa wao ujasiri wote huo ? kwann Mo asirevenge sasa hv ? Mo si level ndogo kiivo mkuuMkuu issue ya MO imekaa kisanaa sana ,mimi nilifatilia hadi yule dereva waliosema alihusika kwa kumteka MO anakaa bahari beach,aliyemteka MO ni BASHITE.
KWA uzoefu hivi zile taarifa kupitia cctv za asili kuonyeshwa tukio zima la mauaji huwa ni za kweli kumpata muhusika.Nijuavyo majini wanaback storage history ya mtu yeyeto,KWA mujibu wa elimu ya falaki.Halafu huko Mitamba kwa ishu za mauaji ndio kwenyewe