Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Huyu Dada alienda Kibaha nia ilikuwa siku inayofuata amtambulishe Mchumba wake kwa Familia yake Kibaha,hivyo inaonekana kuna isu ya Mapenzi pengine huyo Mchumba wake alikuwa na Mchumba mwingine akamuacha akataka kumuoa huyu hivyo akaamua kumkomoa,nahisi hivyo tu
Mkuu hebu ongezea nyama kidogo ...inaonekana una kitu
 
Dah[emoji24][emoji24] huyu dada namjua nilishamkuta BOA kahama alikuwa na kigari flani kama sikosei ni ractis nyeupe aiseee polisi wachunguze kwann mwanamke achomwe moto Bora angekuwa mwanamme tungesema hata labda alidhurumu, REST IN PEACE TOWA
Wanawake huwa hawadhurumu? Halafu kusema bora mwanaume huo ni ukatili na unaonekana una liroho la husda
 
Wanawake huwa hawadhurumu? Halafu kusema bora mwanaume huo ni ukatili na unaonekana una liroho la husda
@mpwayungu village nakujua vizuri unapenda league ila sijamaanisha hvo

Wanawake hujihusisha Kwa uchache sana kwenye madeal ukilinganisha na wanaume asilimia kubwa kama sio 90% wanawake sio risk taker ndo nilichomaanisha

Na kusema Bora wanaume nilimaamisha huwenda ingekuwa analipwa kisasi Kwa alichokipanda ila Kwa huyo dada sijui

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Dah[emoji24][emoji24] huyu dada namjua nilishamkuta BOA kahama alikuwa na kigari flani kama sikosei ni ractis nyeupe aiseee polisi wachunguze kwann mwanamke achomwe moto Bora angekuwa mwanamme tungesema hata labda alidhurumu, REST IN PEACE TOWA
Ndugu, unaombwa ujitokeze kutoa ushirikiano wa baadhi ya taarifa.
Kuna maswali muhimu sana labda unaweza ukawa na majibu yake.
 
Ingekuwa enzi za Dkt Magufuli basi tungesikia serikali katili etc. waliomtengenezea hizi fitina za kuzusha Mungu atawalipa hapa hapa duniani. He will long live na legacy yake ya uzalendo. Ni kama uzushi wa Rais Samia ilivyo sasa eti kuna ufisadi mkubwa mara uzembe mara tumeuzwa. Yaani baadhi ya watanzania ni wajinga sana wanaamini kila kitu.
Wewe kama kiongozi matukio mazito kama hayo yanatokea unakaa kimya unadhani jamii unayoingoza itakuelewaje, wakati mwingine ukiwa kwenye msimba yaweza kukulazimu kulia au kwenda kwenye msiba ili wafiwa na jamii inayokuzunguka isikuelewe vibaya, lkn ukasimama kwenye majukwaa na kusema kwani aliyekufa ni wa kwanza kuuawa lzma jamii ukutilie shaka, wakilia na wewe lia wakicheka na wewe cheka.
 
Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Dah!.. inasikitisha sana, Kuna binadamu wakatili Sana..
 
Nina maswali sahihi usiokua na majibu yake ndezi wewe. Nyie ngojeni tu. Muda utawaumbua mlimuandama Rais wetu bila sababu yoyote wakati nyie ndio wauaji na soon mtaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe ili kuulinda uongo wenu
sasa hv mtu anakufa manesi wanaoneshana connection , mtu anakufa kisa ambulance haina mafuta kisa mtu anatembea na ela za kituo
 
Usimuite mtu ndezi maana atakuita mbwa koko.Yule kibaka marehemu?
wahujumu uchumi hukumu yenu inawasubir unafiki sio solution , mnajua uchafu wenu na mnajuwa mzee walidhibit mnamalizia hasira kwake , kibaya zaid chuki zenu mnataka tuletea ukabila Wapmbavwww nyny , tumetoka karne ya 20 tunaingia karne ya 21 hlf mijinga inatuletea ukabila TUSHATOKA HUKO MPUMBV WW
 
Unajiita chawa wa mama huku uko tofauti kabisa naye? Samia ameshasema mara nyingi kuwa kipindi tulichokuwepo, cha wamu ya Magufuli kilikuwa kipindi kibaya na sasa nchi imeanza kukubalika na kutulia. Ni busara tu kuwa rais Samia hataki kumponda Magufuli kama Magufuli alivyokuwa anaponda aliyetangulia lakini kila mtu anajua mwelekeo wake ni tofauti kabisa.
kama mpk sasa huon uozo wa awam zilizopita pamoja na hii bas jiite TAKATAKA , hujui unaelekea wap
 
Alipokufa jiwe mambo yote yakaisha,Rest in peace my aunt [emoji24] ( Mama Kabendera)
Panya road waneisha , huko mtwara watu hawalali , copy za panya road zimeenea nchi nzima zikiwa na majina tofaut , KUTWA TUNALAUMU WAZUNGU KUMBE TUNAJIFERISHA WENYEW KWA UNAFIKI KUUWEKA MBELE KIBAYA HAMFANY UTAFIT
 
Back
Top Bottom