Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

ukisikiliza hiyo audio aliyoweka mshana, baba wa mtoto anadai mtoto wake alichomwa sindano ya kuua figo na kuomba vyombo vya usalama vifanye uchunguzi japokuwa wengi mitandaoni wamehusisha na mambo ya mahusiano lkn inaweza kuwa ni mambo ya kazi pia.
 
UNKNOWN SOURCES/SIJATHIBITISHA

Inasemekana alinayehisishwa na kifo chake ni Boss wake …

Aliaambiwa afoji check ya 1B isemekane imeandikwa kimakosa ili hiyo hela isionekane Bank .. Lakin Binti alikataa..

Boss alimsumbua akakosa amani akaomba ruhusa kuja Kibaha kuisalimia familia yake .. Lakin alikuwa akiwasiliana na Mchumba wake nakumpa taarifa hizo..

Alipokuja Kibaha alimshirikisha Baba yake Mzazi ambaye ni Doctor Mkuu Mwimbili Dar. Siku chache kurudi nyumban Boss wake alimpigia Baba yake huyo Binti kumtaka amwambie mwanaye aache kazi ndani ya masaa 24 . Baba ake akahoji kwakosa gani mwanangu alilolifanya?

Lakin siku ya pili alipigiwa simu na mmoja wa wafanyakazi wenzake Kahama kumjulisha wamekuja Dar kikazi wanapita kibaha wamsalimie… According to that .. Alipokea simu kwamba wamefika wakutane alipotoka ndyo hakurudi tena ..

Kupelekwa porini na kuchomwa moto na sindano za sumu .. Alijitahidi kujikongoja mpka eneo la makazi ya watu .. Nakuonba msaada apigiwe simu Baba ake .. Toka hapo alikata kauli na kukimbizwa Mwimbili.. na siku chache kuaga dunia..

Inasemekana Boss wake ameshakamatwa sheria itafata mkondo wake ..

Mungu ailaze roho ya marehemu Martha [emoji17].

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
sasa mimi nakwambia ni VIBAKA wapuuzi tu hawana mbinu zozote za kufanya uhalifu. Yani unamchoma mtu sindano ya sumu unaona hajafa vizuri unaamua kumchoma moto?? tena moto wenyewe madaktari wanasema haujamuathiri sana. Wataalamu wanatumia mbinu moja tu kukupoteza sio kubahatisha mara sindano...mara motoo yani hata dose ya sumu iliwashinda kucalculate.
 
Ngoja tuone
 
afoji check ya 1B

Du



Unaweza Kuta ni uwongo na kesi za mauaji zinachukua Hadi miaka 6 alafu unakuta boss Hana tatizo
 
Uyu boss ali plan kama yuko kwenye bongo movie
 
Loh! Pole yake sana!
 
Jambo usilolijua ni km usiku wa kiza na kla mtu atabeba mzgo wake mwenyewe

Kuna kitu tunakiitaga maslahi ni maneno machache ila ni mabaya sana mtu anaweza muuwa kurog ata kutenda ubaya zaidi ksa maslai yake yameingiliwa au yameguswa
Tue makin sana na kitu kinaitwa maslahi

Mungu aipumzishe roho ya marehemu kafa kifo kibaya sana cha kufa unajiona
Mungu wape roho ya uvumilivu wana familia kwa kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…