Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Wewe ni zuzu.
Watu kama nyie ndio mnafanya CCM idharaulike.
Yaani kama kweli Wangwe aliuawa Kwa mazingira unayodai, serikali ya CCM ingenyamaza?.Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo chini ya CCM.
Hivyo wasingeiacha CHADEMA iendelee kuwepo.
Mhasibu alitoboa siri za Mbowe kulamba Ruzuku. Wamem-Chacha Wangwe
 
Sisemi kadhulumu,lakini unavyosema wanawake hawadhulumu una huakika kwa ilo?
Achana na Feminist huyo asiyejitambua, ukute dem ndo ilikuwa tabia yake kutapeli vya wanaume na kupenda vya Bure afu mwisho wa siku hatoi mzigo na anafanya usaliti,

au ukute kaingia kwenye 18 za Dem mwenzake na vile madem hawapendani, ndo ikaisha kihivo.

uskute Hawa ndo wale wanaosomeshwaga bure chekechea mpaka chuo kikuu na kuhongwa vinono na mabwana zao afu wanafanya usaliti, Kwa Hilo atategemea nini zaidi ya kilichomkuta?
 
Sasa hapa naanza kupata picha kwakuwa ingekuwa ishu ya kikazi wangemmaliza huko huko Shinyanga
 
Itakuwa kuna dili la fedha limefanyika na yeye kama mhasibu kaweka saini zake na mpunga kutoka. Kwa scerio kama hii inaonekana ni mchongo wa ndani umefanyika hivyo kumteka na kumchoma moto ili kuvuruga ushahidi coz suspect namba 1 burnt ambaye ndiye mwenye sahihi na mwandiko hii ni OC/ organised crime ina chain ndefu uchunguzi utabaini yote haya through docs, pc's , simu zake marehemu na staffs wenzie
 
Duh,kumbe unahisi
 
madem hawapendani mkuu Mwamba 777 ?
 
Wivu wa mapenzi au mambo ya kazini.
Mapenzi
1.kama ajaolewa kuna boya kaachwa,
Kama kaolewa ishu ya usaliti na dharau kwa mume
- kuchukua waume za watu
2 Kazini
- uzulumiani dili,
-kakataa kushiriki dili na siri anaijua
- kutolewa kafara yaani wapigaji wamepiga wanamtumia kesi marehemu
Hakuna kuuwawa nje ya hayo mawili ni rahisi kumpata muuaji KWA ishu za mapenzi au kazini. Anza na yule wale wenye ugomvi nae, hawa watakuonyesha muuaji.
 
Basi mambo yalianzia hapo,uchunguzi uanzie hapo kwa mchumba wa marehemu,
Unakuta dada wa watu yeye alipendwa tu aliyeachwa akaleta kizaa zaaa,kuna watu hawaachiki nyie angalieni watu wa kudate nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…