Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

kuna ushaid wowote wa kuhusika kwake ? waafrika mnapenda udaku kuliko uhalisia , Panya road wanapiga tukio Kawe katikat ya kamb za jeshi na kituo cha polisi juu
 
Lissu hakutoa ushirikiano na jeshi la polisi sio siri
 
Sukuma gang ili kumchafua rais aliyepo madarakani
acha ukabila mkuu , mbona una akili barbaric hivyo , mzungumzie mlengwa sio kugusa mabila ya watu , ukabila popote huanza kiutan kaa hv mnaishia kuuana , Rwanda ukabila ulianza hv hv
 
Kaangalie hotuba ya Mo anasema akitekwa na watu wanaongea kireno wametokea msumbiji , leo huko kaskazin mwa msumbiji kinaendelea nini , Vita sio kuvamia kambi ya jeshi tu bali hata kukuchafua pia ni mbinu ya kivita
 
Tangu jiwe ameondoka vifo vingapi vimeshatokea vya utata utata ??
panya road wametawala Tz nzima , huko mtwara hamuambiw hali sio nzuri kabisa pamoja na kuweka kambi mpakan , mwaka juzi december nlikuwa pale masasi bar ya Himo nkaona wanajeshi wanarudi wamechoka hatar , hamuambiw ila sio powa omben mungu tu mliamua kupenda afe
 
Hata kuandika haujui.Sasa ndiyo umekaza mifupa unajibujibu nilichoandika?Mafi ya bata wewe!
 
Tutolee story za marehem , Wewe acha kuturudisha zama za giza , Mpenz wa ukabila ni yule maskini wa hoja
Alitukuta wamoja akaleta ukabila,uchama na ukanda ili atutawale vizuri,Mungu akasema noo hii ni Tanzania ya watu bila kujali chama,kabila dini na dunia ikashuhudia kifo chake cha aibu.
 
Kaangalie hotuba ya Mo anasema akitekwa na watu wanaongea kireno wametokea msumbiji , leo huko kaskazin mwa msumbiji kinaendelea nini , Vita sio kuvamia kambi ya jeshi tu bali hata kukuchafua pia ni mbinu ya kivita

Mkuu issue ya MO imekaa kisanaa sana ,mimi nilifatilia hadi yule dereva waliosema alihusika kwa kumteka MO anakaa bahari beach,aliyemteka MO ni BASHITE.
 
Alafu sehemu nyingi watu au vibarua wanawalaumu wahasibu, kwenye malipo wanafikili wanapunjwaau wanakula Ela zao, kumbe yeye kaambiwa na ngazi za juu jinsi ya kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…