Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Makonda aka malyamungu magufuli hencmanMheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Makonda aka malyamungu magufuli hencman
Alitumwa Toka Ikulu kuvamia clouds kisa hawaweka kipindi Cha kumkashifu gwajima
Watanzania gani?Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Punguza ujinga wewe mnafiki, watanzania gani hao unawaongelea?. Stupid idiot.Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Ngoja makonda aje acommentMheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Kwa povu hili wewe unaonekana ni stupid idiot kuliko yeye!Punguza ujinga wewe mnafiki, watanzania gani hao unawaongelea?. Stupid idiot.
Kusema kwamba Mwamba Magufuli alimchoka Makonda ni urongo mtupu! Wote walioenda kugombea ubunge waliambiwa mapema ya kwamba wataondolewa kwenye nafasi wanazoshikilia na Makonda alienda kugombea ubunge Kigamboni. Akatolewa kwenye uRC.Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
shujaa kwenye ukoo wenu wengine tutoeMheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Lini umekuwa msemaji wa Watanzania wote?Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Na Kafulila aka Tumbiri akaondolewa uRAS 😂Kusema kwamba Mwamba Magufuli alimchoka Makonda ni urongo mtupu! Wote walioenda kugombea ubunge waliambiwa mapema ya kwamba wataondolewa kwenye nafasi wanazoshikilia na Makonda alienda kugombea ubunge Kigamboni. Akatolewa kwenye uRC.
Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe zaidi
Naomba hiyo sumu ivuruge viungo, hili shetani hata liki survive liishi kwa shida tu. Bashite hafai kuwa haiKwa ile mikutano yake kipindi akiwa mwenezi, inaonekana Makonda kule field anakubalika zaidi ya viongozi wengi wa CCM, ndio maana waoga wanaoutaka Urais wamemuwekea sumu.
Hapa hawa unaowaona wanapinga huku wanatoa matusi lukuki ni jamii ya walio wachache sana na hawajai kwenye kibaba.Sasa mnaopinga mkashindane na watanzania huko mitandaoni. Sisi tumesha andika uzi tumemaliza