Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
Hear say,nenda mahakamani uthibitishe hayo madai yenu ya kingese
 
Makonda nilikuwa simuelewi kabisa kipindi cha Magufuli lakini siku hizi naona amebadilika sana na ana prove kuwa ni kiongozi mzuri, mwenye huruma. Akiendelea hivi aatakuja kuwa Waziri Mkuu
 
Hear say,nenda mahakamani uthibitishe hayo madai yenu ya kingese

Wewe ni mtupu sana wa maarifa na uelewa. Huyo unayemwambia aende mahakamani akathibitishe, atathibitisha vipi bila ya Jamhuri kumfungulia kesi huyo muuaji? Uuaji ni kosa la jina, makosa yote ya jinai, mwenye mamlaka ya kufungua kesi, kwa mujibu wa katiba yetu hii ya hovyo, ni DPP tu. Au na hilo hulijui?

Siku ikija serikali inayowajibika, nduguyo atafikishwa mahakamani. Jinai huwa haifi hata ipite miaka mingapi.
 
Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
Unajua hao USA wameumiza watu wangapi?
 
Wengi mnao mchukia makonda ukiondoa maneno yakipuuzi puuzi kama hayo hakuna kingine chamaana mnachoweza kuongea mkaeleweka, niujingaujinga tu na chuki binafsi.
Wewe unayemoenda unapata nini kama siyo ushuzi tu kutoka kwa nyami
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
tako
 
Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
USA in chafu kuliko hata zile brush za kuoshea choo tena cha shule za St. kayumba....
 
Sio wote tunampenda Makonda, Kuna wengine ni vilaza hawawezi kuelewa ni kama yale majamaa yanayoshangilia Train ya SGR sshv wakat kipindi inaanza kujengwa yalkuwa yanapinga mengne yakisema ni wastage of money.
 
Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
US walimblok sababu ya kupambana na mashoga kama wewe
 
Wewe ni shoga bila shaka!😅😅 ety USA

Back
Top Bottom