Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
Punguza shobo kwa mabeberu mkuu.

Yani kufungiwa viza na US ndio justification ya ubaya wamtu!!, unajua uovu wa hao US amaunafuata mkumbo wa kuhalalisha uhuni wao.

Makonda anawazidi akili kwambalisana mabosiwako wote unaowajua.
 
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.

Ubarikiwe zaidi
Kejeli zile mkuu. Utampendaje muuaji kwa kushirikiana na jpm?
 
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.

Ubarikiwe zaidi
Sema baadhi ya waTanganyika
 
Msoga wanasemaje
 
Shujaa wako inasemekana kaumiza watu wengi sana, mpaka unafikia kufungiwa VISA na nchi kama US kuna mengi nyuma ya pazia machafu sana, hata sponsor wake JPM alichoka na kumtupa nje, simjui lakini kwa machache ya ovyo niliyoona live mitandaoni, hana maana ni mtu wa ovyo tuu
Hao watu weng si uwataje! Waorodheshe hapa hao watu walioumizwa na Makonda ndugu yang kukata mzizi wa fitna.

Makonda amekuwa nje ya System kwa miaka 4 na ni SUKUMAGANG hajawah patikana na hatia mahakama yoyote ile, ila unataka tukuamin wewe kwamba Makonda mbaya. Pamoja na mapungufu yake kama binadam, Makonda ana sifa nyingi za kusaidia Taifa na jamii ya watanzania walio wengi.

Kwa akili ndogo, za kishamba sana, ulimbukeni wa Kimagharibi, ujuaji usio na hoja, na wivu inakuwa nongwa sana kumuona mtu mwingine anawasemea Masikini!

Wewe Mtu mzima punguza vivu na majung. Kama mtu humupendi, humpendi wewe kwa nini ulazimishe na wengine wampende!
 
Utakufa kwa presha mkuu punguza mahasira ya kipumbavu [emoji23].
Huyo paka wako atakufa ameachama mdomo na ule msambwanda wake.

Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
 
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.

Ubarikiwe zaidi
Haya mambo ya generalization huwa mnayapenda sana watu wa ccm!!
 
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.

Ubarikiwe zaidi
Huu ujumbe ukisomwa na familia ya Ben Sanane, Azory na Tundu Lissu mwenyewe ni kebehi, dharau, kufuru ya Hali ya juu😔😔
 
RC angependa sana kuwa Mbunge. Sababu kubwa kwa maoni yangu ni mbili;
a) Ana uhakika wa kuwa kazini miaka mitano bila "kutumbuliwa"!
b) Ana uwezekano wa kuwa Waziri Mkuu, Waziri au Naibu Waziri. Na akitumbuliwa anabaki na Sifa ya kwanza hapo juu!
Waziri Muu wa familia yako labda
 
Back
Top Bottom