Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

Punguza shobo kwa mabeberu mkuu.

Yani kufungiwa viza na US ndio justification ya ubaya wamtu!!, unajua uovu wa hao US amaunafuata mkumbo wa kuhalalisha uhuni wao.

Makonda anawazidi akili kwambalisana mabosiwako wote unaowajua.
 
Kejeli zile mkuu. Utampendaje muuaji kwa kushirikiana na jpm?
 
Sema baadhi ya waTanganyika
 
Msoga wanasemaje
 
Hao watu weng si uwataje! Waorodheshe hapa hao watu walioumizwa na Makonda ndugu yang kukata mzizi wa fitna.

Makonda amekuwa nje ya System kwa miaka 4 na ni SUKUMAGANG hajawah patikana na hatia mahakama yoyote ile, ila unataka tukuamin wewe kwamba Makonda mbaya. Pamoja na mapungufu yake kama binadam, Makonda ana sifa nyingi za kusaidia Taifa na jamii ya watanzania walio wengi.

Kwa akili ndogo, za kishamba sana, ulimbukeni wa Kimagharibi, ujuaji usio na hoja, na wivu inakuwa nongwa sana kumuona mtu mwingine anawasemea Masikini!

Wewe Mtu mzima punguza vivu na majung. Kama mtu humupendi, humpendi wewe kwa nini ulazimishe na wengine wampende!
 
Haya mambo ya generalization huwa mnayapenda sana watu wa ccm!!
 
Huu ujumbe ukisomwa na familia ya Ben Sanane, Azory na Tundu Lissu mwenyewe ni kebehi, dharau, kufuru ya Hali ya juuπŸ˜”πŸ˜”
 
RC angependa sana kuwa Mbunge. Sababu kubwa kwa maoni yangu ni mbili;
a) Ana uhakika wa kuwa kazini miaka mitano bila "kutumbuliwa"!
b) Ana uwezekano wa kuwa Waziri Mkuu, Waziri au Naibu Waziri. Na akitumbuliwa anabaki na Sifa ya kwanza hapo juu!
Waziri Muu wa familia yako labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…