Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Unaweka ndani unagharamia wahuni wanapita wanapiga

Ukiingia kwenye ndoa uwe na moyo wa kuvumilia kuchapiwa mke unayemtunza.

Na wao walishasema pesa yao ni yao na ya mume ya wote halafu huyohuyo unayemhangaikia anatembeza papa nje

Wanangu tukatae ndoa kwa nguvu zote

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
 
[emoji3][emoji3][emoji1][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnajifurahisha tu humu.

Nani akatae ndoa ww

Hiki ni kikundi Cha watoto tu wa form 4 wameamua kuja kuji promo na kislogan Chao.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app

Nadhani wewe labda ni mgeni..
Ila kifupi...
Mimi ndio raisi wa KATAA NDOA GANG
Nina Masters
Nina Miaka 31

Punguza dharau
Ishi maisha yako.

Punguza kukejeli watu.

HATUOI na HATUKO TAYARI KUOA.

#YNWA
 
Naomba account ya bank ya chama chetu cha kataa Ndoa nirushe kidogo mchango tutunishe account ya chama.

Niseme approach zinazotumika kuprove ndoa ni ubatili zinasoma kiwango cha 100G+.

Kama hakuna account bado anzisheni wadau tuchague na viongozi kabisa.

Kazi kuu ni kutoa elimu wanaume wajipende wao, wale mbususu na kupita kushoto

Lakin kwa wale wenye shobo kupingana slogan ya chama [emoji2][emoji2] hela ya account itatumika naaaaa
Wale play boy (super women approachers watatumika kukamilisha misheni.)

Tutakuwa na grp la telegram soon [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…