Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Huuo upanga wake kwenye uhasibu nina mashaka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkp nimekoment ujue umeongea ukwel mtupu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna maendeleo endelevu kwenye jamii iliyojaa Chuki ,usaliti na Watoto wasio na Wazazi wenye maadili.
 
Bwana Countrywide njoo chukuwa ushauri huuu muruaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake pasua kichwa... Unato mbewa hujui mpaka wakuonyeshe video ya mkeo akiwa anapigwa miti ndio unashtuka Ila wanaume wengi wanapigiwa wake zao sio Nikki tu hio ni sample specimen
Ni Kweli mm mwenyewe nimechakata mke wa mkuu fln ....hkn anaeamini nimetulia kimya tu na jamaa Ni kizito haswa mm haka dkt wa mitishamba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa alikuwa anakuja nae m.city karibia kila siku usiku.. picha lilianzia pale.. kaanza pigiwa kitambo sana sema ilikuwa kimya.. Mwanamke anatakiwa alindwe kwa gharama yoyote ile
Babu unaweza kumlinda mwanamke Kweli??

Nimetoka Hap nnje saa tatu nikakutana na mke wa mtu kidgo tu nimejaaribu kimejaah bwana kashasepa kazini na ndiga la serekalin asbh San ndio mke anaamka kwenda kuchukuwa vitavunio anakutana na dkt wa mitishamba na mm sinaga utani ikifika swal la uchakataji Ni faster tu [emoji41]

SAS HV anatuma msg anataka kurudi tuje tupige shoo vzr

Ach kbsa HV viumbe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako wewe una wivu wa kijinga. Manara na baba levo tu mafanikio yao yanakuuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu hmn bhna mm nachukia show off na kujiona mjanja Sana ndio shida inaanza pale

Mm mwanzo tu nilitilia mashaka Sana performance yake kwenye mitiani ile ya CPA

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke analindwa kwa kupunguziwa access.. au kwa kuondoa vulnerabilities flani flani
 
Hii tabia ya watanzania kufurahia matatizo ya wenzenu sijui huwa itaisha lini, we unaongea kwa furaha kabisa . Vaa viatu vyake je ingekua ni wewe, au ndugu yako ungejiskiaje? Huu n zaidi ya uchawi , haya mambo hayanaga mwenyewe omba yasikukute . Tena nyie mnaoshangilia ndo mna roho ndogo mnaweza hata kuua au kujitoa uhai.

MWENZIO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI , TIME WILL TELL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…