Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Me wala hawanisumbui kabisaaaaa
Ila samia atoe ajira asee
Hata wakipewa ajira ufanisi wa kazi utakuwa ni mdogo mno, yaani hili Taifa sasa hivi lina msiba sana huko mbele ya safari, maana watu hata uwezo wa kufikiri umekuwa duni sana sasa akipewa ajira ataweza kukabiliana na changamoto katika hiyo ajira yake. Wacha watoto wa matajiri na Wanasiasa wapewe tu hizo ajira.
 
mkuu ongeza ufahamu wako kwenye mambo ya siasa hakuna mwanasiasa anaye tamba kwa mshahara Fanya KAZI miaka kumi international auditing companies hauwezi kukusanya pesa ya DC anayetumia nafasi yake vizuri. Ziara ya DC kukagua kiwanda kimoja kwa wilaya za miji mikubwa inatosha kulipa huyo CPA wako mwaka mzima , uliza wafanya biashara utajua kwanini wako karibu na wanasiasa . Kuwa na Rafiki DC au RC Tanzania ni mtaji tosha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuna vijana wa hovyo sana sasa hivi halafu hao ndio Mababa na Mababu wa baadae. Mungu anisaidie nisiwe na akili kama za hawa vijana wa Sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Na wewe unasapoti hyo kampeni???
Dah basi
 
Na wewe mzaramo nae mke??
 
Na hizo mali na yeye si anashiriki kuzichuma?? Sa unapokuwa kazini nani anasimamia ishu zingine??
 
Sample hio, ukisema hivo basi wasukuma, wachaga nao sio wake

Af wanawake siku hizi hamna kabila wala nn, wengi ni vile vile tu, hata kwa wanaume napo tuko hvo kwa sababu ya muingiliano wa makabila
Hahahahaha
Mzaramo kugawa nje ni sifa bwana
 
Na hizo mali na yeye si anashiriki kuzichuma?? Sa unapokuwa kazini nani anasimamia ishu zingine??
Sasa in return si ndo namuhudumia yy na sometimes familia yake alipotoka. Huoni hayo ni malipo tosha?
 
Sasa in return si ndo namuhudumia yy na sometimes familia yake alipotoka. Huoni hayo ni malipo tosha?
Hapana hata kwao alikuwa anapata huduma.
Halafu wewe hujakutana na mwanamke akauteka moyo wako bado....ukikutana na wa hivyo yani moyo wako utatamani umuweke ndani kisheria kabisa.
Sema bado unakutana na oya oya low brain 🧠
Narudia tena ipo siku utakamatika haswaaaa
 
Ingekuwa wale walimu wa cwt wasingegomea uteuzi wa ukuu wa wilaya achana na mambo ya kuambiwa labda hao mawaziri kwenye wizara za fedha, maduni na utalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…