Nlikua mkoa fln nikakutana na mtoto mmoja wa kizaramo aisee nadhan pale nlipigwa njugu sababu akili iliisha kabisa kwa ile michezo yake. Mwanzo nikataka kumuoa kabisa, na hio ni 2 months tu nmekutana nae.
Sasa huko kutoka akili nikafanya mistake kubwa ambayo naona na nikki ndo alifanya, nikaanza kumuonesha dem kwamba namkubali na bila yeye mimi siwezi kuwa na furaha. Aloooooh.. kilichofuata yule dem akabadilika, zile characters zote nlizompendea nikaanza kuona zinapotea moja baada ya nyingine. Dem akaanza kugawa nje naletewa hadi ushahidi, ikabidi nimteme japo iliniuma sana
Hapo nikashukuru Mungu sabb angeendelea kujificha ningeweka bomu ndani. Ndipo akili ikarudi nikakumbuka jamaa mmoja aliwahi sema "Ukitaka kuona true colors za mwanamme mpe cheo, lkn mwanamke mpe ndoa"
Toka hio siku nawashangaa sana wanaoamua kuoa, yaan kusain commitment ya matatizo hvhv siwezi aisee, kwa msala alonipa yule dem hadi leo sitosahau.
Now ni kupiga pisi kali zaidi hata ya huyo dem wa nikki ambae watu wanasema mkali ila mie naona tako tu hapo
So
Nakadori ukiona mtu anakataa ndoa sio kukurupuka, YAMETUKUTA AISEE.