Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Kabla hujaziliwa wako ambao walikuwa wanakataa ndoa, umezaliwa na wewe unakataa ndoa, utakufa watakuja wengine nao watakaa ndoa kama wewe kwa hiyo kampeni unayoifanya kiufupi haina maajabu kwa wewe sio wa kwanza kukataa ndoa
Basi itoshe kusema niache mimi na mtazamo wangu wa KUKATAA NDOA na wewe baki na huo mtazamo wako wa kua na Ndoa kisha ugongewe na uchapiwe km wengine, hapo vipi?

Tumekubariana hivyo sawa mzee, baki huko mimi nibaki huku kuna kesi kwani?

KATAA NDOA
 
Basi itoshe kusema niache mimi na mtazamo wangu wa KUKATAA NDOA na wewe baki na huo mtazamo wako wa kua na Ndoa kisha ugongewe na uchapiwe km wengine, hapo vipi?

Tumekubariana hivyo sawa mzee, baki huko mimi nibaki huku kuna kesi kwani?

KATAA NDOA
Sio wa-kwanza kukataa ndoa
 
Sio wa-kwanza kukataa ndoa
Sawa ninaweza kua wa MWISHO wewe kinakuuma nini kwani? Hoja huna zaidi ya maelekezo yasiyo na rejea ZOZOTE utaniambia nini nikuelewe wewe? Utaniambia nini?

MIMI REJEA NINAZO WEWE UNA NINI CHA KUUNGA MKONO HOJA YAKO?

KATAA NDOA
 
Ulimbukeni wa social networks pia na sie binadamu Wana roho ya envy
 
Mimi namuona wa kawaida sababu nishachapa mkali zaidi yake.. kwa wasiowahi ndio wanaona hivyo

KATAA NDOA
View attachment 2523090

Shem ni mzuri tu kawaida hana utofauti na madem walio wengi. Kinachombeba yeye ni kwamba tu kichwani yuko fresh.

Ila ni wa kawaida sana hata dada yangu kamzidi. Sema up ward hayuko kama shemeji yetu.
 
buccaneer Soma hapo uelewe vizuri,

KATAA NDOA KWA HERUFI KUBWA
 
Yap!..kuna la kujifunza hapa.
 
Yaah mkuu maana kama story za kuchapiwaa na ushahidi ashazoeaaa kama masanja tuu[emoji23][emoji23][emoji23] Ila sasa hili la Zuri kuwa sio damu yake kashindwa kabisaa kulibebaa.
Kuvumilia kashidwa , kugongewa unaweza kausha kama hakuna ushahidi ya picha au video. Kama masanja.
Ila kujua mtoto sio wake. Daaa ngumu, sana.

Afu nimesikia kuwa nikki kipindi demu anaosoma alikuwa anaghalamia kila kitu, coz alijua ni mama wa mtoto wangu.

Na nikki alikuwa anabaki na mtoto home, akilea kwa kila kitu.

Huku mama akiwa chuo.

Inauma sana.

Jamaa kashidwa kuvumilia.
 
Huyu dada sijajua kama alikuwa anajua huyo mtoto sio wa nikki , inawezekana , alikuwa anagongwa tuu chuoni leo huyo , kesho kutwa nikki , wiki ijayo lecture.

Sasa Anakazi ya kumtafuta baba wa mtoto.

Kama ni hivyo ni shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…