Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mada zakeView attachment 2524176
Screenshot_20230220-173218.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuanza kuishi bila ndoa hiyo ni moja ya sababu watu kuachana. Nikki haendani kabisa na ile Tandam.... cha muhimu kashaitafuna kwa miaka kadhaa awaachie wengine sasa.. muda wake ushapita.

Demu mkali halafu kipanga wa hatari kwenye uhasibu... kwa vyovyote vile ilikuwa lazima Nikki aachwe.
muhasibu akamuache mkuu wa wilaya? , kwa Tanzania na Africa Taaluma inayoheshimika kuwalipa pesa za Bure watu ni siasa , mkuu wa wilaya mpya anapokelewa na matajiri Kwa salamu za milioni kumi, ishirini , nk , kiufupi mwanamke yoyote Tanzania ataachwa na mwanasiasa sio kumuacha. Politics ni tamu .
 
muhasibu akamuache mkuu wa wilaya , kwa Tanzania na Africa Taaluma inayoheshimika kuwalipa pesa za Bure watu ni siasa , mkuu wa wilaya mpya anapokelewa na mayajiri Kwa salamu za milioni kumi, ishirini , nk , kiufupi mwanamke yoyote Tanzania ataachwa na mwanasiasa sio kumuacha. Politics ni tamu .
Kwa politicians the future is brighter
 
muhasibu akamuache mkuu wa wilaya? , kwa Tanzania na Africa Taaluma inayoheshimika kuwalipa pesa za Bure watu ni siasa , mkuu wa wilaya mpya anapokelewa na matajiri Kwa salamu za milioni kumi, ishirini , nk , kiufupi mwanamke yoyote Tanzania ataachwa na mwanasiasa sio kumuacha. Politics ni tamu .
DC ana mshahara mdogo halafu kazi yake ina hatari kubwa ya kumponyoka muda wowote. Pia kisiasa hasa Afrika mtu akitumbuliwa katika umri mdogo ni rahisi kupoteza mwelekeo. Huyo Joan sio mhasibu wa kawaida.. ni Tanzania one kwenye CPA. Kaulize mishahara ya wafanyakazi wa PWC, KPMG au Delloite kisha ufananishe na DC.
 
Jf usiwe na mtizamo wa tofauti .....ukiwaza tofauti na watu basi ushaitwa jina flani....
Tatizo ujinga mwingiiii halafu watu wanajiona wajanja kumbe malofa tu
You nailed it Miss Nakadori
It is true kabisa humu sasa hivi Ma Great Thinker ni wachache wengi wamekuwa ni wa hovyo sana halafu huwa Wana support jambo kwa kuangilia ni ID gani imeandika na ukija na Mawazo tofauti Wanakutolea maneno machafu.
 
Back
Top Bottom