katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Sijui poleUnazingua!!!
Headline ulivyoiandika nikadhani unakijua kisa chenyewe kumbe na wewe unauliza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui poleUnazingua!!!
Headline ulivyoiandika nikadhani unakijua kisa chenyewe kumbe na wewe unauliza!
NdioKwa hiyo amefariki
Maisha ni tataJamaaaaaniii
Jamani weka picha basi.
Hiyo hapo nimepata now
Jamani weka picha basi.
Msiwe mambumbumbumbu ule mkopo analipa na nini? Nyumba ya kukaa hana , ujue wako wengi wa aina hiyo na wengine wtoto wenuNdio tatizo letu watu wanasoma ili waje kuajiriwa sio kujiajir..tena cha ajabu hapo unaweza ukakuta alikua anamiliki simu ya laki tat ambapo pesa hiyo inatosha kujiajir
Weka ww LunchBila picha hii taarifa ni chai
Mbona wewe mjinga namna hii?View attachment 974787ndo huyu hapa!
Hapana yuko hai.Kwa hiyo amefariki
Mbona wewe mjinga namna hii?
Kwani hukuona uzi umeeleza vizuri kabisa sababu ya yeye kujiua ?Jamani sijui nini kijana wawatu kapata na kajirusha kutoka ghorofa ya tatu jamani nimejiuliza sijui nini kimetokea jamani .
Kimeniuma couze bado ni mdogo sana.
Jamani mnadhani nini haswa kimemsibu?
Hapana yupo Muhimbili nimempelekea supu leo...Kwa hiyo amefariki
amezimia mpaka Leo!!Kwa hiyo amefariki