Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Jamani weka picha basi.
tapatalk_1544935577623.jpeg
ndo huyu hapa!
 
Ndio tatizo letu watu wanasoma ili waje kuajiriwa sio kujiajir..tena cha ajabu hapo unaweza ukakuta alikua anamiliki simu ya laki tat ambapo pesa hiyo inatosha kujiajir
Msiwe mambumbumbumbu ule mkopo analipa na nini? Nyumba ya kukaa hana , ujue wako wengi wa aina hiyo na wengine wtoto wenu
 
Mtu aliyemaliza chuo akapata gap la fasta akaajiliwa hawez kujua huu msoto.....Hii hali naijua fresh sana
 
Jamani sijui nini kijana wawatu kapata na kajirusha kutoka ghorofa ya tatu jamani nimejiuliza sijui nini kimetokea jamani .
Kimeniuma couze bado ni mdogo sana.
Jamani mnadhani nini haswa kimemsibu?
Kwani hukuona uzi umeeleza vizuri kabisa sababu ya yeye kujiua ?
 
Back
Top Bottom