Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Sijui huwa anawalipa nini lakini hizo sera zinafaa Temeke tu sisi huku tunajua mbunge hajengi miundo mbinu. Lakini pia kwani hukumsikia mkuu wa hilo genge akisema mkichagua mpinzani haleti maendeleo? Sasa unasemaje tusichague chama? Mbona mnajichanganya sasa?Hata hivyo hivyo bora mara elfu kuwa na huyo Halima kuliko hilo tapeli lililokubuhu.
 
Halima ni nuksi kwa Kawe, akiwepo maendeleo hakuna.
 
Wewe mbweha mvuta Bangi ndiyo unaishi madongo kuinama huna unachokijua zaidi ya kukariri upumbavu wa kulishwa na Gwajima
Tuko ukoo mmoja, wewe mbeha mkubwa mwenye meno yasiyoingia mswaki.
Nyie watu wa madongo kuinama na vyoo vya passpoti size hamjui kuishi kistaarabu, sasa hapo hatuna kitu common.
Hilo ni tatizo.
Halima MUST GO!
 
Pusi weye!
Hujui hata maana ya nzito ya mwenye madaraka ndo anakuletea maendeleo.
Halima hata amae miaka elfu, ataishia kuingia na kutoka selo kwa sababu ya lile lisauti libovu linalokera, na ambalo mnalishangilia kama mafisi pori.
 
Nilidhani ni mtu mwenye akili kumbe ni mtu hajitambui vizuri, Gwajima mtafutie kazi porn hub kwani ameonyesha kipaji kizuri kuhusu tasnia hiyo.
Usilete mambo ya shamba, napa mjini na Kawe walipa kodi ni wengi sana kustahili kuhudumiwa.
Jitu lililokuwepo, Halima, ni mbumbumbu wa kuona hali halisi.
Chagua Gwajima mwenye uwezo wa kulobby uwekezaji wa kiserikali.
Halima MUST GO!
 
Hujui kz za mbunge..... halafu unawezanifananisha KAWE NA kongwa au kijijini kwenu kwa miundombinu......
 
Halima ni nuksi kwa Kawe, akiwepo maendeleo hakuna.
Huyo Mchungaji tapeli ni balaa zaidi. Kwanza atulipe alivyotutapeli na pia kila anapokuwepo lazima kutokee matatizo makubwa ikiwepo na amani kutoweka. Hatufai mshirikina yule
 
Nilidhani ni mtu mwenye akili kumbe ni mtu hajitambui vizuri, Gwajima mtafutie kazi porn hub kwani ameonyesha kipaji kizuri kuhusu tasnia hiyo.
Na nyie mtafutieni Halima selo mkanywe naye chai humo!
Huko mtapendeza zaidi!
 
Hujui kz za mbunge..... halafu unawezanifananisha KAWE NA kongwa au kijijini kwenu kwa miundombinu......
Kawe hatumkumtuma kuchezea maisha ya selo na kunyea ndoo.Tunataka maendeleo, kama hajui basi ampishe tu Gwajima wana Kawe tupate maendeleo.
 
Huyo Mchungaji tapeli ni balaa zaidi. Kwanza atulipe alivyotutapeli na pia kila anapokuwepo lazima kutokee matatizo makubwa ikiwepo na amani kutoweka. Hatufai mshirikina yule
Bora Gwaji boy kuliko mtu anayechagua kunyea ndoo kwa hiari yake, kazi ambayo hatukumtuma.
 
Unalipa kodi?
BAba yako halipi kodi, wewe na familia hamlipi kodi , halafu unategemea maendekeo ya bure!
Una matatizo!

Wacha kutumia madawa ya kulevya na jaribu kuwa na heshima na ustaarabu unapotaka kujadili nami jambo lolote, vyenginevyo usipoteze muda wako bure! Hunifahamu sikufahamu kuwa mstaarabu.
 
Ukimpenda Halima kanye naye chai.
Kazi za umma kashindwa vibaya, waste of oppurtinties kuchagua tena mtu ambaye hawezi kushirikiana na serikali kutatua kero za wana Kawe.
Wewe kunywa chai na Gwajima amekupa vicent umelewa njaa zako zisikufanye uamini kuwa Gwajima ni bora
 
Heri hata Gwajima.
Halima Mdee kasugua kiti cha ubunge Kawe kwa miaka 10, hebu tupe hata kitu kimoja cha kijamii alichokifanikisha!
Vipo vingi kafanya lakini wewe umejaa chuki za kijinga ni vigumu ukubali kuwa kafanya makubwa
 
H

alima is a failure as far as maendeleo ya Kawe yanahusika.
Hatukumchagua akachezee selo.
Anaweza chezea selo na lupango hata asipokuwa mbunge.
Apishe watu serious na maendeleo ya Kawe.
Wewe mwenyewe hujui kupiga kura lini ulimchagua Halima? Watu serious ni Gwajima?
 
Wewe ndiyo una Akili za kuku huna kumbukumbu kuwa Halima hushawishi vizuri lakini hukwamishwa na wajinga wenzako wa CCM kwa makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…