Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Vipi kuhusu mkeo je?
 
Nimesha kujibu kule PM, hapa waifu anakaribu kusoma.
Maana sie tusi chepuka hua hatutaki mambo mob..πŸ™„πŸ™„
🀣🀣🀣na ww mkeo kumpa id yako huku inahu? Si ufalasi huo? Sasa sisi tukale wapiiii
 

Hongera shemela😍😍😍😍
 
Hujatoka wewe lakni mwenzio anatoa kama kawa hawezi kukoswa ubunifu kwa sababu yako, kisichokutoa hapo ni ufundi wa mama sio vingine..tunasema maji kila kilefu inaitaji uzoefu[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…