Mzee huna haya๐ค๐พKula nyama tamu za kuchoma, kuroast, kisinia, mchemsho na hata za mchuzi! Hakika mungu ni mwema!!
Nimefanyaje Seran?Mzee huna haya๐ค๐พ
Tuelezee kuhusu hizo nyama kwanza maana nina njaa๐ฅฑNimefanyaje Seran?
simu ikaitaje wakati ameibiwa?Niliwahi kwenda Ubungo stand by then kumpokea mgeni wangu toka JF
Kilichotokea huwa kinanichekesha mpaka leo
Akiwa yuko ubungo mataa akaporwa simu bahati nzuri nilikuwa nimeshamwambia nilivyovaa
Gari inaingia stand kati ya abiria 5 was kwanza kushuka nikamuona mmoja ananikimbilia
Basi nikampa pole ya safari nikabeba begi lake dogo mpaka kwenye gari tukasogea mpaka mgahawa mmoja ndani ya stand unaitwa Salamander
Sasa tunaanza kupiga story kuna mahali tukawa tunaachana..
Kwamfano Aliomba sehemu ya kuchaji simu, lakini akiwa kwenye basi alisema simu take iko full charge
Kwenye mavazi akadai aidha nimemdanganya au sijui rangi.. Nikabaki kushangaa
Baada ya dakika kadhaa simu yake ikaita .. Kumbe mtu wake alimpokea mtu watu na kinyume chake
We ngoja, โunataka nikujibu vibaya unilambe ban sindio๐
JLW (R.I.P)๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ1. DDOS ATTACK
2. KUZiMWA INTERNET NA KUIKOSA JF
3. KuFUNGWA KWA JUKWAA LILEEEE PENDWA
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hamsahau kwani.?Kubwagana kwa Members wa JF na kutoleana siri kisha kurudiana.
Bora usijue maana njaa yako itaongezeka.๐Tuelezee kuhusu hizo nyama kwanza maana nina njaa๐ฅฑ
Basi ata tule kwa macho hapa๐Bora usijue maana njaa yako itaongezeka.๐
Fumba macho tu uweke mambo wazi hapa mkuu๐Kuna tukio moja nikikumbuka tu uzi utaleta shida zitaanza ngumi za maneno hapa..!! Mods watafika uzi utafungwa.
Aliyeibiwa simu ni mwingine niliyeonana naye ni mwinginesimu ikaitaje wakati ameibiwa?
Selfika?๐ฅบKuna tukio moja nikikumbuka tu uzi utaleta shida zitaanza ngumi za maneno hapa..!! Mods watafika uzi utafungwa.
Najua nikanzisha tu ngumi zitarushwa na hivi mambo si mambo, watu wamepigwa tobo..!! ๐น๐น๐นFumba macho tu uweke mambo wazi hapa mkuu๐
Haya mafanikio tuseme makubwa au yaliyopitilizaKuanzishwa kwa chama Cha ma jobless pro max.
We mwaga bwana sie tusha kuzoea hivyohivyo ๐๐ mods wameshapumzika mida hii, wa kuuana wauwane tuu! weka mambo hapo la mama๐๐ฝNajua nikanzisha tu ngumi zitarushwa na hivi mambo si mambo, watu wamepigwa tobo..!! ๐น๐น๐น
We mtoto em tulia nisije kutamwaga hapa bure na dada yenu tena km mnavyonijua friji langu haligandishi..!! Haiiiyaaaaaa
Hatuogopi, we sema ๐Najua nikanzisha tu ngumi zitarushwa na hivi mambo si mambo, watu wamepigwa tobo..!! ๐น๐น๐น
We mtoto em tulia nisije kutamwaga hapa bure na dada yenu tena km mnavyonijua friji langu haligandishi..!! Haiiiyaaaaaa