Miaka 22 ya TICTS nchini yafika mwisho, mamlaka ya bandari kutosaini mkataba mpya

Hapo Kuna cheni ya miongozo mkuu, Saazingine unaweza kumlaumu mkurugenzi bure kumbe miongozo mefanya kazi.

Hii nchi kunawatu wanaamua kwa maslahi yao tu na hawajali chochote.
 
Kilakitu kipo, jibu ni tamaa za watu binafsi wenye madaraka.
 
Hapo wameangalia mkataba cheap upande wao tu hawakuzingatia madhara yatakayojitokeza mbeleni.
 
Hapo Kuna cheni ya miongozo mkuu, Saazingine unaweza kumlaumu mkurugenzi bure kumbe miongozo mefanya kazi.

Hii nchi kunawatu wanaamua kwa maslahi yao tu na hawajali chochote.
Uko sahihi mkuu,kuna watu hawajui mipaka ya kazi na vyeo vyao wanaingilia kila mahali.
Huwa ni wajuaji wa kila sekta na hawataki kuwapa nafasi wenye utaalamu wao kufanya maamuzi
 
Last August, the government said a number of investors had shown interest in offering the services at the port of Dar es Salaam but did not disclose the names of the investors.
🤔🤔🤔 nchi ngumu sana hii. Watu washakula 10% zao za udalali kwa Mhindi

Ilikuwa ni haki yetu kujua hao investors wengine walikuwa ni akina nani na ilipaswa washindanishwe. Na kwa nini majina ya wawekezaji wengine yafichwe?
 
Jamani jamani jamaniiiiii!!! Mambo yale yale ya TRC na RITES ya India! Yaani kweli hawa wahindi!!

We acha tu uwiiiii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mama Tanzania [emoji1241] mbona uko kimya sana jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkome!

Mnatoa rais mnaweka midoli mnategemea nini?
 
Achana na hayo yote, hapa nawaza, napataje kazi pale bandarini.
 
Wahindi ni weledi sana kwenye fani hiyo, angalie wanavyoendesha ICD kama ya TRH wako vizuri sana
 
Away waindi siwaamini kabisa watu wanoongoza kuizamisha Africa ni ao na wachina yaani wanaweza Kaa kama madalali uku nyuma yake Kuna mtanzania
 
Bider gani Anastahili? anauwezo gani?, ataisaidiaje Bandari kupata mizigo mingi zaidi ili kutunisha wingi wa fedha, tutafute service company yenye influence kubwa dunia itakayo ongeza biashara atleast mara tano zaidi na sio blah blah.
 
Fafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…