Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
TICTS ni wababaiahaji sana, bota TPA wachukue majukmu na itsaidia sana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kigumu, mifumo yote kuanzia kwenye operation za mashine za kupakulia na kupakia kontena (Ship to Shore Gantry Crane) Rubber Gantry Crane,Container Scanner na Terminal Trucks wanaofanya ni watanzania wenzetu waliopata mafunzo na wengine walifundishwa na watengenezaji wa mashine husika.Mkuu 'Offshore Seamen', hebu nikuulize wewe, pengine unao ufahamu mzuri zaidi wa haya mambo, hasa nikichukulia jina lako.
Hivi kuna mambo gani magumu sana ambayo waTanzania kwa ujumla wao, kati yao millioni zaidi ya 60 sasa ambayo ni magumu sana kuyafahamu katika uendeshaji wa bandari?
Hapana, kisehemu tu cha makacsha ambacho hawakuweza kujifunza kwa miaka zaidi ya 22 toka kwa hawa wataalam wa TICTS katika muda wote huo?
Zaidi ya miaka 22, tukifanya kazi na hawa TICTS, lakini hatukuweza kabisa kuwa na ujuzi nacho kwamba hawa jamaa watakapoondoka kazi hiyo tutakuwa tayari tunaimudu sisi wenyewe!
Itatusaidia sana sisi wengine tusiokuwa na ujuvi wa eneo hili vizuri, kama utaweza kulizungumzia hili ili nasi tujifunze.
Ninakushukuru sana kwa jibu zuri, ambalo kwa kweli kila siku ninalo kichwani: "Uwajibikaji".Kama tukiachiwa wazawa kila kitu na mitambo ya kisasa kitakachotupa performance mbaya ni wizi,uwajibikaji, kuweka watu wasio na uwezo
Hapo unaposema "...ngozi yetu bila kusimamiwa ipasavyo kazi haiendi". Pengine hili linaweza kuibua mjadala mwingine mkubwa na mhimu zaidi.Kila kitu tunaweza kufanya, hapo Ticts palienda sawa sababu mzungu aliweka mfumo thabiti. Kazi unafanya kwa masaa, uwajibikaji ni mkubwa sababu ngozi yetu bila kusimamiwa ipasavyo kazi haiendi.
Lakini kuna jambo mhuhimu ninaloomba waTanzania tukumbushane kwa kwa kuutumia huu mfano wa mkataba na TICTS.
Kampuni hiyo imekuwepo hapa kwa miaka 20 na kwa muda wote huo sisi waTanzania hatukuweza kujifunza lolote kutoka kwao, kwamba tutajijiengea uwezo wa kuiendesha hiyo sehemu ya bandari baada ya hawa wageni kuondoka.
Hapana, sijasema serikali iingie kwenye huo uendeshaji, (najua kuna watu husema serikali haiwezi chochote), lakini je, hata kuwaandaa na kuwapa uwezo waTanzania nje ya serikali haiwezekani?
Kuna utaalam gani wa zaidi sana ambao watu wetu hawawezi kamwe kuumudu kuendesha shughuli kama hiyo?
Ninaelewa ni kiasi gani tunavyojidharau, kwamba hatuwezi chochote, jambo ambalo sikubaliani nalo kabisa. Kinachotushinda ni viongozi wetu kutosimamia vizuri shughuli zetu na kuwatia moyo wananchi wake ili waweze kuleta mageuzi makubwa katika nchi yao.
Hatuna viongozi wanaoamini kwamba tunaweza, matatizo yetu yanaanzia hapo.
Tangu Lin mwarabu akawa WA ndaniGSM anashindwa kufanya jambo hapo tusiendelee kupigwa na wageni?! [emoji848]
Bora atupige wa ndani... "zimwi likujualo halikuli likakwisha"
Jamaa si wanasema wao wa songea 🤔🤔🤔
Mkuu 'Yoda', hapa ndipo huwa ninashindwa kabisa kuelewa msimamo wako upo wapi hasa!Tanzania haina matajiri wakubwa wenye ukwasi wa kutosha kuweza kuendesha hiyo bandari.
Sahihi kabisa....Best deal to make generational wealth..... just $30M and some fees which can be paid over a period of time... kina karamagi nadan wametosheka tu.. politics and politicians couldnt do them anything..
Congrants...
TICTS walikuwa na shida tokea mwaka 2008 serikali ikataka ifutia, ikawaje wakaendelea hadi 2017 mkataba wak ukaisha, wakaongeza dau, serikali ikawapa 5yrs.Hiyo miaka 3 ya mwishoni ya huo mkataba aliwaongeza nani?nakusudia ni awamu ya Rais yupi kikwete au magufili ?
Adan ataweka wahindi wengi mno, ila kama atatoa hela nzuri sioni ubayaNi Tawi la Hutchison Port Holdings, hao wakima DP World hawana tofauti.
Bora ajaribiwe APM Terminal, hao watu wa Asia hawajatofautiana sana
Mamlaka ya bandari nchini Tanzania (TPA) imesema baada ya kampuni ya wazawa TICTS kuondolewa kuhudumu kwenye bandari ya Dares salaam tayari wameshapata mbadala wake ambao ni kampuni ya kigeni kutoka India itakayoanza rasmi kuhudumu bandarini hapo.
![]()
TPA hires Indian firm to replace Ticts
The Indian conglomerate Adani Ports and Special Economic Zone Limited (APSEZ) will now run berths eight through 11 of the Dar es Salaam Port on behalf of TPA, which took over the services...www.thecitizen.co.tz
Kwamba unajua utendaji wao!?Jamani jamani jamaniiiiii !!! Mambo yale yale ya TRC na RITES ya India ! Yaani kweli hawa wahindi !!