Miaka 40 tu lakini ulaji wa tunda ushakuwa shida

Inawezekana, yani hata tukiwa ndani nimkute na mkao gani hata mapigo ya Moyo hayabadiliki kabisa 😁😁😁ila Sasa hapo kwenye kuniambia nichepuke ndio shughuli Sasa, mazoea Sina.
Huo ni mfano tyuu.
Nikimaanisha ukipata chungu kipya utakifurahia kuliko cha zamani chenye mapengo.
 
Sasa nifanyeje mkuu? Mana kama umezidi kunivuruga😁😁😁
Ninachotaka kukuambia ni kuwa Mwanamke hachepuki kwasababu tu ya kukosa Dushe au kukosa pesa, unaweza kumpa yote hayo na akachepuka na akazaa na Mwanaume mwingine....huwezi kujua kuwa wanataka nini hasa.
 
Jua limezama mapema sana mbona
 

Kwanza: Acha chakula cha hovyo au huli chakula bora kwa afya bora…!! Chunga sana afya yako..!!

Pili: usafi, make sure usafi ndio kitu kikubwa sana mapenzini, acha sigara, harufu ya pombe, kunuka jasho, mdomo, kwapa, kuwa mchafu mchafu mbaya sana, be very clean

Tatu: Lugha, jaribu kuwa na lugha tamu katika nyumba, soft and sweet words itakuinua

Four: Uwe na fedha, ukiwa huna fedha, sometimes mawazo yanazidi na kuona maisha magumu sana na hisia za kiume zinafifia au kufa na kushindwa kumhitaji mkeo au mpenzi wako mara kwa mara..!!

Five: Mazoezi kidogo kwa afya muhimu, don’t over do it..!!
 
Maisha Magumu kwako........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…