Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Unapendelea kinywaji gani jumapili ya Leo dada?
 
Ok, kati ya mwanaume kutembea na wanawake wengi, na mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ipi ni nature ya mwanaume?
Ni Machaguo ila kitu kimoja kina baki kuwa nature...
DOMINANCE that's natural na haihitaji ukaisome shule.
 
Ni Machaguo ila kitu kimoja kina baki kuwa nature...
DOMINANCE that's natural na haihitaji ukaisome shule.
Nini nature ya mwanaume kati ya:

1. Mwanaume kufanya mapenzi na wanawake wengi.

2. Mwanaume kufanya mapenzi na mwanamke mmoja mpaka kufa.
 
Nini nature ya mwanaume kati ya:

1. Mwanaume kufanya mapenzi na wanawake wengi.

2. Mwanaume kufanya mapenzi na mwanamke mmoja mpaka kufa.
We both know ni both, inategemea na Machaguo yake...

Usijaribu kuitwist hii dhana eti kwa sababu hiyo na mwanamke anapaswa awe hivyo... Nature itamsuta, kwanza kimaumbile, kibaolojia, na submissive nature yake itapotea
 
Reactions: Tsh

Hapo sasa ndo ninapokuambia umekurupuka boss.

Kiasili wanaume tunavutiwa kufanya ngono na wanawake wengi ila self control na mifumo kama dini, ndoa n.k ndo inatubana. Hakuna mwanaume asiyevutiwa na wanawake kwamba yeye huyo mmoja tu ndo anavutiwa naye.

Na mifumo ipo ili kumcontrol mwanadamu, nothing else na kadiri tech inavyokua hilo swala la ndoa mifumo ya dunia wala haitajali, kwa sasa dini na wazazi na jamii ndo inajali ila kadiri dini na jamii inapofeli ndivyo itakavyokuwa kawaida kwa watu kutembea na wanawake wengi na ndipo tunapoelekea huko.
 
Ni kujidanganya kwamba haya mambo yameanza leo. Kwa sisi tuliokaa na wasichana hostel enzi hizo, mambo hayo sio mageni kwa wanawake wa vyuoni, hayajaanza leo. Kichwa cha habari ilipaswa kuwa kuna baadhi ya wanaume uoa makahaba.
 
Kwani mjadala huu tunajadili nini haswa?

Tunajadili wanawake mnao watetea na kila nyuzi huwa mnakimbilia kujificha kwenye nature ya mwanaume mnampachika mwanamke... That's ridiculously stupid kwa sababu mnaukimbia ukweli Mchungu...

Mbona sasa hivi haumpachiki tena kwenye swala la kuwa dominant? Unajua ukweli acha kujificha... Na Sija kataa mwanaume kuwa na wapenzi wengi nilikuambia toka mwanzo sisi ni kama wanyama.

Hautongelei kuvutiwa na psychological desires hapa wewe na mwenzio Marcostilone mnakwepa uhalisia kila mda.

We are talking about animal natural instincts hapa wacheni ujuaji wa kikuda. Wengine tumeshavuka huko.

Hiyo point yenu ni psychological manipulation mliyo mezeshwa na nyie mkaikubali kama nyumbu.

I can't keep going through this now kama mmekaza vichwa ni tatizo lenu sio langu na sio la uhalisia wa nature
 
Ni kujidanganya kwamba haya mambo yameanza leo. Kwa sisi tuliokaa na wasichana hostel enzi hizo, mambo hayo sio mageni kwa wanawake wa vyuoni, hayajaanza leo. Kichwa cha habari ilipaswa kuwa kuna baadhi ya wanaume uoa makahaba.
Ndo maana Mbaga Jr amesema angalia yupi anakufaa ukafie mbele huko, hataki kelele.
 
Tusichanganye mambo, kwanza umeafiki kwamba nature yetu wanaume ni kutamani wanawake wengi?

Tutafika tu kwenye hoja ya utetezi, twende taratibu, tusikurupuke. Na ulishasema huko juu, hakuna haja ya magazeti.
 
Nimeshangaa sana alivyosema mfumo wa familia ulitungiwa utaratibu wakati hiyo ipo hata kwa wanyama. Simba, kuku, ndege, tembo n.k na wao wana serikali ambazo ziliwawekea utaratibu wa kuishi katika mtindonwa familia?
 
Hawa jamaa wameangamizwa na dogma ya psychological indoctrination😂
 
Reactions: Tsh
Nimeshangaa sana alivyosema mfumo wa familia ulitungiwa utaratibu wakati hiyo ipo hata kwa wanyama. Simba, kuku, ndege, tembo n.k na wao wana serikali ambazo ziliwawekea utaratibu wa kuishi katika mtindonwa familia?
Bado hujashangaa. Fanya tafiti, mifumo ya ndoa mwanamke mmoja, mwanaume mmoja kwa mwanadamu iliingiaje kwenye sheria za mwanadamu.
 
Unaogopa unaowatetea watakuprove wrong. Acha bla blah
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…