Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Tusichanganye mambo, kwanza umeafiki kwamba nature yetu wanaume ni kutamani wanawake wengi?

Tutafika tu kwenye hoja ya utetezi, twende taratibu, tusikurupuke. Na ulishasema huko juu, hakuna haja ya magazeti.
Sikusema ni nature kutamani, nilisema dominance ndo nature ya mwanaume matamanio ni mtu na mtu. That's a fact

Kitu ambacho unachanganya ni dominance na matamanio ndo hapo mlipokuwa wrong...

Mtu yoyote anaweza kutamani but dominance is Masculine.
 
Reactions: Tsh
Umekariri terminologies za kingereza unakurukupuka nazo.
Mkuu am so much more than you think kasome nyuzi zangu... Napenda kutumia hiyo ili kuwanyoosha wazembe kifikra nyie
 
Sikusema ni nature kutamani, nilisema dominance ndo nature ya mwanaume matamanio ni mtu na mtu. That's a fact

Kitu ambacho unachanganya ni dominance na matamanio ndo hapo mlipokuwa wrong...

Mtu yoyote anaweza kutamani but dominance is Masculine.
Ok, Tuachane na maneno ya kingereza maana inakuwa ni kichaka. Sikia, kati ya hivi vitu viwili.

1. Mwanaume kuwa na wanawake wengi.
2. Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja.

Ipi ni asili?
 
Ajabu sana, binafsi nilishamwambia aache kuwa ana include mambo ya nature kwenye hoja zake kwa sababu bado hajajua kuielezea nature kwa mapana yake.
You have no any autonomy to tell me anything...
Nyie wanasaikolojia ni washamba sana...

You normal instincts mmezi uwa kwa ujinga wa kumezeshwa...

Hamjui kitu na bado mna ruka ruka humu na maneno msiyo ya elewa. Kumbukeni intelligence doesn't come from learning lone it is a combination of it with experiences but also being intact with natural insricts

Kama huja connect hayo wewe ni pungu tu na hujijui
 
Hakuna standard ya utafiti hapo but anyway tuufanye halafu unachosema ni kwamba wanawake wote watakataa with no exception si ndio?
Tuachane na masuala ya kupredict matokeo ya utafiti maana tutakua tunafanya assumptions kama mnavyosema mimi nimezifanya kwenye kufikia hitimisho langu. Tukisema tufanye assumptions sio lazima kuwe na excption kwenye matokeo. Inawezekana wote wakakubali au wote wakakataa.

Twende kwenye utafiti. Andika thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke walioamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi na kubaki na hela zake pamoja na kujihudumia mahitaji yake mwenyewe. Tuone wanawake wenyewe wanasemaje kuhusu ilo
 
Sikusema ni nature kutamani, nilisema dominance ndo nature ya mwanaume matamanio ni mtu na mtu. That's a fact

Kitu ambacho unachanganya ni dominance na matamanio ndo hapo mlipokuwa wrong...

Mtu yoyote anaweza kutamani but dominance is Masculine.
Kuishia kusema tu "that's a fact" hakuifanyi iwe fact.

Kwanza, fafanua unamaanisha nini unapotumia neno dominance, toa definition inayoeleweka, siyo unatumia neno ambalo kila mtu analielewa tofauti kwa mtazamo wake.

Na kama unadai ni fact, burden of proof iko kwako, ni juu yako kuonyesha ushahidi unaothibitisha kwamba dominance ni sifa ya wanaume pekee, siyo kuishia tu kusema tu that's a fact.
 
Ok, Tuachane na maneno ya kingereza maana inakuwa ni kichaka. Sikia, kati ya hivi vitu viwili.

1. Mwanaume kuwa na wanawake wengi.
2. Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja.

Ipi ni asili?
Kuwa polygamist is a choice...
Ila asili mwanaume akiwa na wengi. Tunajua hili for reproduction na kujazana humu. Na kwa wanyama vivyo hivyo
 
Like Wth yaani nianze kufafanua term ya kingereza?
Kwa taarifa yako we can't draw meaning from a single word. Huwa tunasoma hoja na kuelewa kwanza. Au hujui katika lugha kuna context?
 
Mama anaonekana ajasoma ni genius l amekujibu kama mwandishi wa Project... Ameanza kukuelea problem (Swala la kiuchumi, Umalaya na Maradhi ). Akaja kukuelezea wapi tulipotokea (Tradition and Customs) akamaliza. Wewe na Yeye Solution ikawa hamna. Wewe ukaja na Impact (Wanaume wataoa Malaya). Hitimisho, Uhalisia hao wakuoa hawatakuwepo kwasababu Uchumi utakuwa umewapiga vibaya mno, Hao unawaita wakuoa si wajinga wanaona nini kinachoendelea sasa. Hawawezi kukubaliana na mfumo wa Mahari wa sasa "TOO MUCH MONEY" product zenyewe mbovu, Single Mlther watakuwa wengi, Mashoga watakuwa kama washikazi wa Masela.
 
Umejificha kwenye kichaka cha "wanawake watakataa" wakati hiyo siyo hoja. Hoja ni generalization ya hao wanaokataa kuwakilisha wanawake wote duniani.

Inaonekana hujajua ninachokupinga.
 
Onyesha uhusiano wa kimantiki kati ya instinct na madai yako, mbona ni rahisi tu, hauelewi nini?

Kama unaona nadharia fulani imekosewa, itaje na uonyeshe imekosewa wapi?

Kifupi thibitisha madai yako. Hoja hupimwa kwa ushahidi.

Mwisho kuwaita watu majina ya hovyo, wewe ndiyo unaonekana ni mjinga na usiye na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…