Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Itapendeza na kuleta maana zaidi hilo neno likiwa linatumika kwenye nyuzi za aina hii.
Ndio kwa sababu hata kama maadili yame poromoka kwa kiwango kikubwa

Wanawake wazuri na wanaofaa kwa utulivu kwa mwanaume na kujenga future bado wapo

Wanaume wazuri wanaofaa kwa familia bora wapo tena wapo na wapo naamini wanaume hawawezi kua wabaya wote

Kitu kibaya ni mtu kutaka mwenzi mkamilifu jambo lisilowezekana

Hili neno Baadhi mimi pia nitajitahidi kulitumia kwa mada kama hizi πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni kweli mkuu. Ku-maintain ile status quo ya soft life sio rahisi mtu akakubali kuwa mama lishe au kutembeza matunda mtaani. Hata kama akipewa mtaji
 
Na waafrika wasiokua na hela kwenye suala la kufyatua watoto ndio hauwaambii kitu
Ndio hivyo, watu wanahamasishana kuzaa kwa kasi bila kujua hao wanaowazaa kama hawa mabinti watuhudumiwa na nani.

Watanzania wengi hawana uwezo wa kuhudumia watoto zaidi ya wawili kwa ukamilifu wa kuwapa mahitaji yao yote ya msingi, ila ndio hivyo wanaambiana kila mtoto anakuja na sahani yake. Labda sahani za hao watoto ziko kwa hao mubaba.
 
Sahihi kabisa, kuna jambo pia huwa najiuliza, vipi kuhusu wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma, je hawachochei hiyo tabia kuongezeka kwa namna moja ama nyingine?
 
Ufuska mara nyingi ni akili ya mtu tu mkuu wala sio kipato.
Kuna mademu wanatembeza hata matunda mjini ukiwaona ni heri hawa kuliko wa "nakuja ila nadaiwa hela ya kikoba"
Matunda, perfume,karanga,ndizi, juice na other small business kwa wadada ni mtindo mpya wa kufanya umalaya hii utakufanya umuone hustle kumbe nyuma ya pazia kuna black πŸˆβ€β¬› prostitute.......
 
Sahihi kabisa, kuna jambo pia huwa najiuliza, vipi kuhusu wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma, je hawachochei hiyo tabia kuongezeka kwa namna moja ama nyingine?
Wanachochea sana tena sana
ukute binti hajatambua thamani yake akiwekewa dau mezani na akijiangalia hana hili wala lile unadhani atachomoka kweny huo mtego?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…