Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Bado haujaelewa, jambo lolote ambalo linamnufaisha mtu kwa namna moja ama nyingine, huyo mtu hawezi kuliona hilo jambo kama tatizo.

Unachokitaka wewe hakiwezekani, hiyo ni ndoto, yani mwanamke ambaye analipiwa kodi ya nyumba ,analishwa na kuvishwa unataka aone kufanyiwa hivyo vitendo ni tatizo? How?

Kama wanaume hatuwezi kuwa wamoja kwenye hili, hakuna mantiki ya kuwalaumu hao wanawake kile wakifanyacho ikiwa sisi wenyewe ndiyo tuna support hayo wanayo yafanya.
 
Mkuu bora Tanganyika tabia zetu tunaziweka public hazitufichi tofauti na Zanzibar wao wanaficha tabia zao kwenye kichaka cha Dini. Kuna mwaka Niliwahi kuishi kule Zanzibar kuna Nyumba nilipanga nilishi pamoja na hiyo familia nyumba moja na mimi nilipanga chumba kimoja, Kuna nilikua sijaenda kazini nikawa nipo chumbani ninetulia tu ile Nyumba nilikua naishi Mimi pamoja na Mama mwenye Nyumba na watoto wake 4 mmoja wa mtoto wake ni binti mwenye miaka 19, Sasa siku hiyo Mama mwenye Nyumba na Binti yake pamoja na jirani yao ambaye ana miaka kama 26walikaa nje ya dirisha langu Nikasika huyo pamoja na jirani yake wakimpa Somo huyo binti wa miaka 19,
Nilisikia wakimwambia wewe farha huu umri wako ndiyo wakati wa kuvuna pesa sasa wewe unakua mjinga Abdullah anakupenda amekwambia anakupenda atakufungulia Account ya Bank lakin wewe hupendi kuwanae, Sasa huyu jirani yao akamwambia umeona mimi nimeolewa sina lolote nguo nyingi nimekuja nazo nilizinunua kabla ya kuolewa.
Huu ndiyo wakati wako wa kuvuna unatakiwa umwambie huyo Mwanaume simu mbovu ili akupe pesa.
 
Mambo yapo wazi sana , Tanzania
 
Marcostilone Ana hoja.
Hoja yake ipo kwenye kutumia sample space kuhitimisha tabia ya binadamu na ukaignore exceptions zote ukaweka seal.

Human behavior is not like the economy, kwamba indicators zikipoint to a recession usually mean one will follow.

Behavior is more like weather, full of signals, but often unpredictable and influenced by hidden factors.

Nadhani nishawahi kukuambia tabia ya mwanadamu sio mti kuwa ukisimikwa umesimikwa.
 
Majibu ya haya maswali mawili yatatoa picha kama upo sahihi au ideology, fikra na mawazo ni Misogynist.

1. Unaamini kabisa power uliyonayo haiwezi bend regardless linapokuja suala la ndoa na mahusiano?
Ndio
2. Mwanamke wako unaamini hawezi mkataa mwanaume mwenye pesa kukuzidi akabaki na wewe?
Katika interactions zangu na watu siku zote naacha wazi room of disappointments.
 
Bado kuna kitu kidogo sana haukielewi au unakielewa lakini unajizima data.

Hiyo relationship monetization inafanikiwa kwa sababu ya wanawake wanaotaka kuuza, au kwa sababu ya wanaume wanaotaka kununua?

Kwanini unatumia nguvu kubwa sana kuwashutumu wanawake badala ya kuwasema wanaume ambao ndiyo wenye capital ya kuendesha hiyo biashara?
 
Hakika Mkuu , tabia ya binadamu ni dynamic.
 
hili kukomesha tabia ya umalaya waache kuwanunua hao malaya bidhaa ikikosa soko hupotea sokon na hali ngumu ya maisha wazazi wawaandae watoto wao kukabiliana na hali hiyo tangu wakiwa wadog sio kutafta njia rahis ya kuuza mwil
Sahihi, haya uliyosema ndio yanaweza kumaliza haya mambo.
 
Women hypergamy sio suala la kufanyiwa utafiti, hio ni nature yao wanawake. Mwanamke anataka mwanaume wa daraja la juu zaidi yake ili apate status, security n.k

Tofauti ya wanawake wa sasa wao wanataka kupata hizo privilege alizokua anazipata mwanamke mfano provision lakini wajibu unaokuja na hizo privilege mfano loyalty ndio hawautaki. Ndio dhana ya kwamba wanajiuza(direct au indirect) inachipukia hapo.

Anyway, nimempa jamaa assignment hapo juu ingawa hata wewe unaiweza kuifanya. Andika thread tetea hoja kwamba mahusiano sio exchange ya hela na sex hivyo basi mwanaume na mwanamke wapeane mapenzi na kila mmoja afanye kazi na kubaki na hela zake. Halafu uone hao wanawake wangapi watakuunga mkono nav wangapi watakupinga
 
Good
Katika interactions zangu na watu siku zote naacha wazi room of disappointments.
By room of disappointment, unamaanisha kuwa mwanamke wako akiwekwa kati na mwenye pesa atakuacha ila misimamo yako imeamua uishi naye hivyo hivyo?

Au unamaanisha kuwa mwanamke wako hana tabia hiyo ila anaweza akabadilika akikutana na mwenye pesa?
 
Ni ukweli lakini hata kama haujapenda.
 
By room of disappointment, unamaanisha kuwa mwanamke wako akiwekwa kati na mwenye pesa atakuacha ila misimamo yako imeamua uishi naye hivyo hivyo?

Au unamaanisha kuwa mwanamke wako hana tabia hiyo ila anaweza akabadilika akikutana na mwenye pesa?
Namaanisha kwenye miingiliano yangu na watu(mke akiwepo) huwa na-assume kuna siku anaweza kuzingua. Kwahiyo huwa siweki matarajio makubwa kwenye hisia za mtu. Katika maisha yangu nimejenga mfumo wa kwamba mimi mwenye ndio ninakua center ya maisha yangu. Kwahiyo mtu yoyote(mwanamke, rafiki, ndugu n.k) akija kwenye maisha yangu na kuondoka hakuna nguzo ambayo itaanguka
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…