Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

Karibu, sisi tupo kwenye mojawapo ya.sekta zinazohusika na Madini
 
Usije ukavuja huo mshahara ukiona ni mkubwa uanze kufikiria kuwekeza kwani hayo makamouni binafsi biashara ikienda mrama wanafunga kampuni na kuwapunguza uanze kuhaso tena.
 
From gheto life to the world..[emoji28]

Congratulations champ [emoji122]
 
Kwa tunaoifahamu Geita na sector ya madini kitendo cha kusema Australia tushaijua hadi jina la Kampuni.

Hongera sana ila jifunze kushangilia mwenyewe binadamu sio wema.
 
safi sana, kila la kheri
 
Relax, kwanza hongera na pia utakapoanza Kazi usisahau kutoa fungu la 10❗
 
Good story
 
Tatizo makato Huo mshara ni makubwa Hongera. Ila ukiingalia slip baada ya makato unakataa tamaa.
 
Kama ulikua unapokea 1.2M bado huku demu wako akiwa anapokea 1M ukashindwa kujiongeza ili umshinde hapo ni halali kuachwa. Duniani hatushindani kwa ukubwa wa mshahara bali kinachotufanya tuonekane bora kuliko wengine ni mipango na uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…