RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Wenye miandiko mizuri ni madaktari.Huu mwandiko mbona kama siyo wa 6m vileee..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye miandiko mizuri ni madaktari.Huu mwandiko mbona kama siyo wa 6m vileee..!!!
Karibu, sisi tupo kwenye mojawapo ya.sekta zinazohusika na MadiniBaada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2.
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
From gheto life to the world..[emoji28]Baada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2.
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Nakazia.......hongera sana mkuu huo ni mshahara wa DC hope utafanya makubwa, ila usianze kuwaza kuvimba na kuwaonesha shoo mademu waliokutosa, utakuwa umebugi big time coz hilo sio lengo la mwajiri wako kukupa mshahara mnono.......
Bado sio excuse boss.Hio ni gross, ukitoa nssf, Paye, HESLB, bima ya afya , unabakiwa kama na 800K. Bado madogo hawajaemda school. Niela yakawaida sana.
safi sana, kila la kheriBaada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2.
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Relax, kwanza hongera na pia utakapoanza Kazi usisahau kutoa fungu la 10❗Baada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2.
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Mkuu hiyo ni kalinzi ya kigoma?Sawa mkuu endelea kuamini nitangazo, lakini nasema ee Mwenyezimungu nashukuru Sana hatimae Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.
Good storyBaada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2.
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Tatizo makato Huo mshara ni makubwa Hongera. Ila ukiingalia slip baada ya makato unakataa tamaa.Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.