uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Nilikuwa nimemkasirikia mleta uziNyie sasa ndo mwaumiza kichwa hapo inabaki ulezi tu wa watoto.
Sasa hyo ya matumizi hatujali mana Kuna wanawake wanajiwekeza kivyao
Empty Set Dr Shika.Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Nilikuwa nimemkasirikia mleta uzi
lakini kwa maelezo yako haya,nimemsamehe
maana huwezi kujua nini kilimsibu akaanza mchezo na beki 3
Mwanaume kama huyu ukimpa kichapo atakuwa wa kwanza kwenda kwny dawati [emoji57]mkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......
kwa beki 3? kwaio beki 3 anajua udhaifu wa maza house bila shaka!!!..... mbaya sn hii
Sasa waambiwe wao hawezi kukojoza wanavyolalamika mke hana siri, wanakimbilia kwa mabeki watatu maana ni sekunde tu kamaliza mambo ya kuandaana hakuna ni kama jogoo halafu anajisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asubilie tu naye akiolewa ndiyo atajua dhamani ya kuolewa, fuatilia mtu yeyote aliyemtoa mwenzie akaolewa yeye huko mbele hata miaka mingapi lazima limkute hilo, baba 1 alimwambia mkewe huyo 2 baada ya mkubwa kuondoka, wewe si ulimtoa mwenzio tulia sahizi anawake 2yeye hakudanganywa, ........
yan alikua anadate na jamaa, baadae jamaa akaoa mtu mwingine lkn yeye akaendeleza game na jamaa........
akawa anajidai wifi wifi wkt analiwa na mme wa huyo wifi........
mkimsema anakua na wivu na jamaa utadhan mmewe!.....
yule dada Mungu anamwona!
Sikushangazwa sana na kutoka na beki3,sababu ya kile ulichokiita kisirani.
ila hilo la kunogewa hadi unamuombea mwenzio kifo
limenisikitisha,sababu nimekumbuka jinsi
nilivyotumwa na kijana mmoja kumfanyia
ushenga ni full kunyenyekea kwa wakwe mpaka akaoa,
afu nije nisikie anamwombea kifo mke wake kisa kapata beki3
ni aibu kwa wanaume wote waliooa.
wewe utasikwa siku moja tu,hesimu ndoa mkuuTulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
Kwa asilimia kubwa katika hili wanawake mnachangia,Wengi hawajui hata mapenzi kiukweli kwa beki Tatu si Ana mubaka tu cha fasta maana hajui kitu maskini
Sio kweli,hata ukijua mtu kaoa unajilengeshaSasa unataka niseme uongo mkuu. Nyie si ndo huwa mnaficha siri Kuwa hamujaoa. Hafu msikremishe dhambi mkuu. Punyeto yenyewe hairuhusiwi ingawa watu wafanya sirini
Kuna mmoja anatumia hii technic kwangu. Ila inahitaji moyo Sana kumuacha. Mungu anisaidieSio kweli,hata ukijua mtu kaoa unajilengesha
mpaka anaingia kingi,mimi nimeliona hili
kwa mdada mmoja anamjua mke wangu
lakini alifanya chini juu akapata namba yangu
akaomba nimkopeshe pesa lakini nisimwambie
mke wangu,nikastuka nikamtania kama vipi
nikaona amelegea ndo nikajua mchezo wenu
wanawake mkiwa mawindoni.π³π³
Sio kweli,hata ukijua mtu kaoa unajilengesha
mpaka anaingia kingi,mimi nimeliona hili
kwa mdada mmoja anamjua mke wangu
lakini alifanya chini juu akapata namba yangu
akaomba nimkopeshe pesa lakini nisimwambie
mke wangu,nikastuka nikamtania kama vipi
nikaona amelegea ndo nikajua mchezo wenu
wanawake mkiwa mawindoni.π³π³
Kuna mmoja anatumia hii technic kwangu. Ila inahitaji moyo Sana kumuacha. Mungu anisaidie
Ukiona mwanamke kafikia hyo stage kakuchoka mana hujali hisia zake hafu nyie Kuna mambo huwa mnafanya mnachukulia poa kumbe yeye anajua serious matokeo anaweka moyoni nakuanza kukutoa moyoni, hafu anajua watoka nje akichepuka ndo haangaiki na wewe utajutra kabisa. Anakuwa hana cha kupotezaKwa asilimia kubwa katika hili wanawake mnachangia,
unakuta mke hasemi nini anataka
anasubiri ubashiri,kwani nimekuwa mganga wa kienyeji.
wanawake wengi mmeathiriwa na tamthilia
mnasahau kwamba yale ni maigizo wala si maisha halisi.
kama umeolewa feel free kuongea na mme wako kipi unataka
kipi hutaki,mfano hali yenu ya uchumi unaijua
kusomesha watoto n,k
kama umeona mwenzio kajisahau kukutoa out
na hali inaruhusu kwanini usimkumbushe?
au kama uridhishwi na jinsi anavyofanya mapenzi
kwanini usimshauri,badala ya kukaa kama gogo?
hii inapelekea watu kutafuta njia mbadala
na mojawapo ni hiyo ya beki3.
Unawatoto wadogo unazani utaweza muda wowote, wanaongea tu wakati hata power zenyewe zawasiwasi
Poa maana kuanzia aanze kuniulizia ni muda.namkwepa Sana. Familia ni Kila kituLinda familia yako ka anashinda msaidie then kata mazoea kabisa