[emoji120][emoji120][emoji120] kuna mahali muhimu kabisa sikukualika... Ngoja nikakualike sasaUkiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi.
Happy joining day Fundi wa Msata.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]Nakusubiri uhamie ccm mkuu,
sikuwa nalijua hili la ukabila na ukanda,ngoja nifuatileHongera sana kwa kutimiza umri huo Jf, pia hongera kwa kuwa member pekee unayeleta posts zenye imani asilia za uafrika wetu.
Pamoja na hayo nikuombe uache hulka za ukabila na ukanda,,,, acha kabisa huo ubaguzi, ni mbaya sana ikiendelea kumea akilini mwako!!!
Wasalaam!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafika bila kukosa, kwa heshima yako Mkuu.[emoji120][emoji120][emoji120] kuna mahali muhimu kabisa sikukualika... Ngoja nikakualike sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
SIKUKUU YA EID NTAKUWA HUKO, MAPEMA TU!
Niko poa, nimerudi jana toka mkoa[emoji120][emoji120][emoji120]kwa mara ya kwanza leo ndio naona ume comment! Unaendeleaje lakini!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kimbelembele umeulizwa wewe?Haikuhusu weye mkuu.
Hapana mimi sio mganga wa jadi mshirikina au mloziHappy joining day to you Mshana Jr, hivi ni kweli wewe ni mganga wa jadi?mbona unafahamu vitu vingi Vya jadijadi hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mi nimoja kati ya watu wanao soma sana MADA ZAKO.kiukweli mada zako zina walenga wahusika kisawasawa...haswa wachawiii aaaah.
Mshanajr endele kutupa ELIMU
Sent using Jamii Forums mobile app