Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.

Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Wakati kesi ikiendelea hakimu ataomba upelelezibufanywe upya na wapelelezi huru

Sisi kina lissu tutawachikua wapelelezi kutoka Israel

Waisraeli ni hatari sana kwenye mifumo ya telecom

Juzi kati walilipua simu zinaxotumia na hizbolah na kuua Mamie na kujeruhi maelfu

Ccm kazi mnayo na huyu mwamba, njia rahisi ya kumpooza ni kumtanga za raisi 2025
 
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Chuki zako kwa Mbowe utadhani aliwahi kupaka mafuta kama P.Diddy alivyo wapaka msanii wetu na mheshimiwa wa mjengoni walipo enda kutazama movie chumbani! Bila kumtaja kwenye lolote siku yako haijawa!
 
Hii kesi kuna watu itakuwa inawanyima usingizi sasa hivi.... tena wasipokuwa makini na wewe itabidi wapumzishwe.... Dead people don't talk
 
Lissu unamjua unamskia Lissu huyu huyu we subiri
 
Vyovyote itakavyokuwa kuna kitu tutajifunza kwamba uovu upo hata kwa watu tunaowaamini!
 
Ndo atawafunga kabisa!
 
Si
Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
Si jambo zuri kuacha ex wako adhalilike
 
Haw
Sisi kubashiri wahusika, hatuwezi. Na sababu,, kwa nini iwe leo au jana na sio 2017 au 2022 au mwaka jana hatujui. Weupe wananyooka, hawapindishi mambo. Tungoje ifike tuone rangi halisi.
Hawapindishi mambo kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…