TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

utabaki kusema wachagga wezi...huku waswahili wakiuza bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangewapa hio bandari wachaga tu kama serikali imeshindwa,ina maana vichwa vya watu waliopo Dar vyote vimeshindwa kuendesha bandari?😂😂

Wachaga wanaendesha makampuni ya ndege hayafi nyie mnacheza vigodoro tu 😂😂
 
Mmiliki wa shirika la ndege la precision air bwana Michael Ngaleku Shirima amefariki tarehe 09/06/2023 katika hospital ya agha khan Dar es Salaam
 
Classmate sio lazima primary au sekondary. Hata kwenye mafunzo maalum ambayo kijana wa kampuni A anaweza kutana na mzee wa kampuni B wote wakiwa wanafunzi kwa muda fulani. Ukumbuke pia Kuna watu wanasoma Phd wakiwa na 30's na wengine 60's.
Muongo tuuuu
 
Apumzike kwa amani.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Huwa naumia sana watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri wanapoaga dunia,wangepatikana Watanzania wengine kadhaa wenye maono mazuri km huyu,nina Imani tungefika mbali sana.
 
Mtu akishauza hisa za kampuni Kwa watu wengine...hawi tena 'mmiliki"..anabaki kuwa founder...kichwa kingepaswa kusema "muasisi wa Precision air"..
Hana tena majority shares..
Huyu jamaa bado ana majority shares kwenye precision., kwa hiyo unaweza kusema ni mmiliki.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…