TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

Hesabu ulifeli kabisa?
Anamiliki asilimia 42.. shareholders wengine wanamiliki hiyo hiyo asilimia 58 wakiwemo wafanyakazi wanamiliki asilimia 1......
Wanaweza endeleza shirika ...waki vote.. hivyo
Unajua nguvu ya wenye majority share holders kwenye cooparate world?

Unachoongea wewe ni nadharia

Hao 58% watakuwaje majority share holder na siyo entity moja?
 
View attachment 2652129

Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam

===========

Mfahamu zaidi Michael Ngaleku Shirima

Michael Ngaleku Shirima CEO wa Shirika la Ndege za Precision Air alianza kufahamika zaidi na watu baada ya ndege za shirika kukumbwa na tafrani za hapa na pale zikihusisha ajali iliyotokea jijini Mwanza ambapo ndege ya shirika hilo ilishindwa kutua katika uwanja wa ndege Bukoba na kulazimika kugeuka Mwanza ambapo rubani aliona ni vyema kuishusha ndege hiyo kweye maji ya ziwa Victoria.

Michael Shirima ni moja kati ya wapambanaji ambao wamepambana kutoka chini hadi kufikia mafanikio ya juu kwa kuwa alikuweka ujasiri na kutokata tamaa. Michael alizaliwa mwaka 1943 huko Usseri Rombo Mkoani Kilimanjaro, baada ya kumaliza shule na kila kitu aliamua kuingia katika ulimwengu wa wachakarikaji kukimbiza ndoto zake ambazo alizigeuza kuwa mipango na baadaye utekelezaji.

Michael aliajiriwa kwa muda kidogo na hapa anasema “Nilipokuwa naanzisha Shirika la ndege la Precision Air haikuwa kama lilivyo sasa hivi lilianza kidogo, likakuwa. Nimekulia kwenye Taasisi ya usafiri wa anga. Nilipofikisha miaka 18 ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia kwenye mambo ya ndege (ilikuwa ndege ndogo). Ndipo ilipoingia kwenye damu na ijapokuwa nilibadilisha mawazo mara kwa mara lakini nilirudi kwenye wazo langu. Sikuanzisha Precision Air moja kwa moja lakini nilifanya kazi kwenye Shirika la ndege ya East African Airways kwa miaka 12 Jijini Nairobi. Lilikuwa ni Shirika la Afrika Mashariki Tanzania, Kenya na Uganda”

“Mtaji wa kuanzisha Kampuni ya Precision Air niliutoa kwenye Kahawa. Ni kazi ambayo ilikuwa haifanywi na watu wengi. Na pia nilikuwa dereva wa malori. Nilikuwa napeleka mizigo Mwanza kutoka Moshi. Nilikuwa napeleka mbao kule. Pia nilikuwa nanunua mafuta ya pamba naleta Moshi” Mzee Michael Shirima, Founder wa Precision Air na Mwandishi wa kitabu cha On My Father Wings

“Tuna wafanyakazi 300. Hii kazi ni ngumu Sana, sio watu wengi wanaweza kuifanya. Kuna Mtaalamu aliandika kwamba ukitaka kuwa Milionea (Dola kwa mfano) uwe Bilionea halafu uingie kwenye kazi ya kuendesha Shirika la ndege ndio utakuwa Milionea. Na huingii kwenye kazi hii ili uwe tajiri au utengeneze fedha hapana unaingia kwenye kazi kwa sababu ya kupenda passion. Na Mimi sifanyi kazi kwa maono nafanya kazi iliyopo sasa hivi”
RIP grandpa.Your Legacy will never die.
 
RIP grandpa.Your legacy will never die.
 
Classmate sio lazima primary au sekondary. Hata kwenye mafunzo maalum ambayo kijana wa kampuni A anaweza kutana na mzee wa kampuni B wote wakiwa wanafunzi kwa muda fulani. Ukumbuke pia Kuna watu wanasoma Phd wakiwa na 30's na wengine 60's.
Hata master's tu unasoma na watoto wameunganisha kutoka degree huku wewe umisha kaa mtaani 15 yrs
 
Mtu akishauza hisa za kampuni Kwa watu wengine...hawi tena 'mmiliki"..anabaki kuwa founder...kichwa kingepaswa kusema "muasisi wa Precision air"..
Hana tena majority shares..
Aliuza 49% tu manake yéyé Ana 51 Sasa nan Zaid?
Shirika ni Mali ya shirima
 
Mbona uso wake kama wa lyatonga mrema una shida hivi. Ebu huna picha nyingine lakini nimegundua wachaga kwenye hii nchi ni Matajiri sana tofauti na wagogo
Tangu kabla ya uhuru Wachaga ni matajiri,Nyerere mwenyewe nauli za kwenda UN alifadhiliwa n'a Wachaga,ndio maana sera yake mfu ya ujamaa kule uchagan haikuwa na nafasi
 
Kuna jamaa nadhani na yeye ni ndugu wa huyu mzee maana na yeye ukoo wao ni Shirima.

Miaka ya 2010 baada ya kumaliza chuo akapata kazi kwenye hilo shirika, baada ya muda akaacha kazi akaanza kuporomosha majumba.
Ila nasikia aliiba hela kwenye hiyo kampuni akaacha kazi,

Mpaka sasa hivi mali anazomiliki jamaa haziendani na muda aliokaa kazini kabisa, hata kama analipwa kama mbunge.

Wachaga wezi sana.
Endelea kuwa na mentality za kimaskini utalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom