Hizi akili za kila aliyefanikiwa Tz ni mwizi Kuna kiongozi mmoja mshamba amewahi kutuongoza ndiye aliyeturithisha haya mawazo! Tumekuwa na taifa la kishamba sana, yaani badala ya kupambana tuwe na matajiri wengi watz halisi (achana na hao wenye uraia wa nchi nyingine), tunawapiga vita kwa kuwaita wezi! Tz tuna takrinan watu 40m walio ktk umri wa kufanya kazi, serikali imeajiri watu almost 1m (hii ni kuanzia Katibu mkuu kiongozi Hadi mtendaji wa Kijiji)! Wengine wote wameajiriwa na sekta binafsi, alafu anatokea mpuuzi mmoja anapambana na sekta binafsi! Puuzi kabisa