luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Na WW kaibe vimaskin vina akili za kijinga kabisaMi nasubiri za kuona chanzo cha utajiri wake ni nini? Maana kama Mzee Edwin Mtei aliiba pale BOT etc, huyu lazima kuna chanzo ambacho siyo sahihi
Acha uzwazwa yéyé n mwanzilishi na mmilikiHuyo ni mmoja wa wamiliki au mwanahisa wa precision air sio mmiliki msimpe ukubwa wa peke yake mnaijua precision nyie acheni swaga hizo.
Rest in peace of the shareholders of precision air ndugu Shirima,
Kwani unaumia NN akisema WAROMBO? Pambana na umaskini wako Huko naliendele.SEMA watanzania woooote bana vipi wewe!? Karibu nipo kiboriloni Kuna mbege safi!!
Lijinga hilo mkuu
Unasumbuliwa na umaskini tuWakina Shirima ni waongo na matapeli kama yule anayemiliki shule ya Crown Mbezi beach
Achana nae mkuu,mtu ana elimu ya std seven hâta ukimwelewesha ni kazi bureHuyu jamaa bado ana majority shares kwenye precision., kwa hiyo unaweza kusema ni mmiliki.
View attachment 2652496
Ilishamilikiwa na watu wengine kitambo alibaki na share kidogo sana.Nina Imani kamapuni itaendelea kuwepo,
Maana wamatumbi akifa mmiliki na kampuni lazima ipate misuko misuko.
RIP
Jiue basi kama maisha ya duniani Si chochote na Si loloteMaisha ya dunia si lolote si chochote tuzidi kutenda wema
Hujui hesabu WeweHesabu ulifeli kabisa?
Anamiliki asilimia 42.. shareholders wengine wanamiliki hiyo hiyo asilimia 58 wakiwemo wafanyakazi wanamiliki asilimia 1......
Wanaweza endeleza shirika ...waki vote.. hivyo
Hajui kitu mkuu anasumbuliwa na chuki na wivu tu,Unajua nguvu ya wenye majority share holders kwenye cooparate world?
Unachoongea wewe ni nadharia
Hao 58% watakuwaje majority share holder na siyo entity moja?
Endelea kupga ramliKafariki tusubiri ugomvi wa Mirathi wakishazika
Sijui huyu itapita vizuri? Bila mirathi kuwa patashika nguo kuchanika
Acha ukasuku yéyé ndiye majority shareholder Ana hisa nyingi kuliko yeyote ndio maana title yake Bado ni mmiliki WA shirikaIlishamilikiwa na watu wengine kitambo alibaki na share kidogo sana.
42 ni share kidogo sana?Ilishamilikiwa na watu wengine kitambo alibaki na share kidogo sana.
Na wao walikuwa wanakusubiri wewe u comment, hatimaye ume comment kabla YaoBado nasubiri comment za masikini wenzangu za kujipa moyo utaskia "Hata matajiri wanakufa cha muhimu kuishi kwa upendo"
tutafute pesa huo ujinga hautusaidii
Eti dreva wa malori, nk ni uongo mtupu.Kazi zilizotajwa hazikuwezeshi kununua Ndege, yawezekana aliaachiwa ndege na mzungu hawa wa makampuni madogo ya utalii tangia hapo akaendeleza.Mi nasubiri za kuona chanzo cha utajiri wake ni nini? Maana kama Mzee Edwin Mtei aliiba pale BOT etc, huyu lazima kuna chanzo ambacho siyo sahihi
Punguza mihemko inayotokana na wivu, utulie, urekebishe kiingereza ulichoandika hapa, kama huwezi andika tu kiswahiliHuyo ni mmoja wa wamiliki au mwanahisa wa precision air sio mmiliki msimpe ukubwa wa peke yake mnaijua precision nyie acheni swaga hizo.
Rest in peace of the shareholders of precision air ndugu Shirima,
Hajui kitu ni memkwa huyo42 ni share kidogo sana?