Masikini mna akili fupi sana.Michango ya harusi sio mzigo umaskini wako ndio mzigo wewe mleta mada
Pambana na umaskini wako utoke mleta mada .Umaskini ukikutoka hutaona michango ya harusi mzigo lofa mkubwa wewe pamoja na malofa wenzie walio like mada yako na kukuunga mkono
Mo Dewjiau Bakheresa hata apeleke kasi za michango laki moja haimpi shida kuchangia
Ulofa unakusumbua
Jinsi unavyolalamika ndivyo laana na mikosi itakavyoiandama ndoa ya hao waliokupa kadi. Kosa kubwa wanalofanya wanandoa wa siku hizi kudhani ndoa bora ni tukio na mbwe mbwe za harusi. Kumbe hapo ndipo wanapobeba mikosi,laana za kishirikina na mabalaa mengine. Wengi hurogwa kupitia zawadi za harusi bila kujua.Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojΓ . Hivyo nahitaji milioni Moja mpΓ ka end of May kukidhi michango hiyo.
Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili:
Je tunawezaje kufanya harusi zetu bila michango mikubwa au harusi bila michango?
Kifupi ukiona mtu analalamikia michango ya harusi kuwa ohhh imezidii ujue huyo lofa sana. Full stopMasikini mna akili fupi sana.
tena mzigo mkubwa sana. mi sitaki hata kuisikia.Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojΓ . Hivyo nahitaji milioni Moja mpΓ ka end of May kukidhi michango hiyo.
Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili:
Je tunawezaje kufanya harusi zetu bila michango mikubwa au harusi bila michango?
Kawapelekee kadi hao akina MO halafu urudi utupe mrejesho wa dhati kabisa.Michango ya harusi sio mzigo umaskini wako ndio mzigo wewe mleta mada
Pambana na umaskini wako utoke mleta mada .Umaskini ukikutoka hutaona michango ya harusi mzigo lofa mkubwa wewe pamoja na malofa wenzie walio like mada yako na kukuunga mkono
Mo Dewjiau Bakheresa hata apeleke kasi za michango laki moja haimpi shida kuchangia
Ulofa unakusumbua
Acha imani potofu wewe utachelewesha mafanikio yako.Jinsi unavyolalamika ndivyo laana na mikosi itakavyoiandama ndoa ya hao waliokupa kadi. Kosa kubwa wanalofanya wanandoa wa siku hizi kudhani ndoa bora ni tukio na mbwe mbwe za harusi. Kumbe hapo ndipo wanapobeba mikosi,laana za kishirikina na mabalaa mengine. Wengi hurogwa kupitia zawadi za harusi bila kujua.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Swali linapaswa kuwa, Je inawezekana kufanya Harusi bila kutembeza kabisa bakuli la Mchango?Nikiangalia kadi nilizonazo zinazodai michango Ni Kama kumi. Kiwango Cha chini Ni laki mojΓ . Hivyo nahitaji milioni Moja mpΓ ka end of May kukidhi michango hiyo.
Sawa ni hitaji la kijamii, lakini ni changamoto! Lazima michango iwepo ila, Swali langu kuu Ni Hili:
Je tunawezaje kufanya harusi zetu bila michango mikubwa au harusi bila michango?
Mwombe Mungu akuondolee umaskini
Kifupi Tatizo sio michango una umaskini wa kufa mtu
We jamaa Fala sana yani unaamini mwamposa akikuombea unapata pesa?Kifupi ukiona mtu analalamikia michango ya harusi kuwa ohhh imezidii ujue huyo lofa sana. Full stop
Aende kwa Mwamposya akaombewe apate Pesa
Hakuna kitu kibaya kama umaskini uogope kama ukoma vikao vya harusi vya matajiri wala hata hawapangiani viwango
Wanauliza bajeti shilingi ngapi ? anaibuka mmoja tu anaandika cheque ya bajeti yote anasema pelekeni kadi bure kwa ndugu na marafiki waje hakuna mchango ila zawadi kuja nazo ruksa ruksa
Umaskini ndio Tatizo usipochangia kiharusi cha mtu anaapa kutokuchangia chochote cha shida au kufika hata msiba wa familia yenu kisa wewe lofa hukumchangia kaharusi kake au nduguye kanakomhusu!!!
Umaskini mbaya sana
hahahahah I'd inajieleza Mamayer this is JF!
Na wewe kwa nini utumiwe meseji ya kukumbushwa kama ni mtu wa karibu? Itakuwa na wewe lofa.Tajiri akiambiwa mchango huu hahitaji reminder anaandika kwenye diary lini atoe au phone alert I'm alert ku.mre mind kuwa una obligation ya mchango wa harusi hahitaji meseji au phone call milofa ndio inahitaji phone call na mesejiMasikini na anayatembeza bakuli la mchango huku akituma meseji za ususmbufu kukumbusha watu kila siku.
Ulichoandika naunga mkono Kifupi usimchangishe maskini mchango wa harusi ana changamoto nyingi za ulofa wake lofa mkubwajamii yetu bado ina changamoto nyingi zinazohitaji pesa kutatuliwa. Japo sherehe ni sehemu ya maisha ila suala la michango ya harusi ni cancer kwenye jamii.
Watu wanapotaka kuoana watenge kiasi cha pesa kufanikisha jambo lao kama ambavyo mambo mengine kwenye maisha yanavyofanyika. Kisha huyo mtu awaite ndugu na jamaa zake bila kuwadai michango. Wakiamua kuja na zawadi ni sawa tu ila wenye harusi wasiweke tarajio kubwa.
Kama huna uwezo wa kugharamia harusi yako fanya iwe tukio la kawaida kama yalivyo mambo mengine. Isitoshe hizi harusi za mbwembwe nyingi zinaishia kwenye kufarakana tu na ndo hazidumu. Hili nimechomekea tu lakini.
Jambo ambalo nilishafuta kwenye kumbukumbu za ubongo wangu ni kuchangisha michango ya harusi, iwe kwangu mwenyewe ama watoto wangu. Watoto itabidi wajue kabisa kuwa wakitaka mambo ya harusi waanze kufanya savings kufanikisha jambo lao bila kutegemea michango. Kwanza watu wengi wanatoa kwa kulalamika tu.
Sijaona watu wanaotoa kwa moyo wote, kwanini tuendelee kulazimisha jambo ambalo tunalazimisha watu na tena katika jamii maskini kama hii?
Asante sana Mkuu. Michango wachangishane wenye uwezo. Kumchangisha maskini ni unyanyasaji kifikra. Unakuta kabisa mtu hata kula yake ni taabu ila analazimishwa kuwekwa kwenye group la familia kwamba nayeye achangie sijui 100K. Ambapo huyo mtu hajui hata kesho anakula nini. Huu ni unyanyasaji mkubwa dhidi ya watu maskini. Isitoshe hata watu wenye maisha ya kati na wao hawapaswi kuchangishwa maana na wao wanalalamika tu kila siku huko maofsini. Wachangishane wenye uwezo (matajiri) kama hiyo michango ni muhimu sana.Ulichoandika naunga mkono Kifupi usimchangishe maskini mchango wa harusi ana changamoto nyingi za ulofa wake lofa mkubwa
Changisha matajiri achana na maskini hata kama ni kikarani serikalini au taasisi zake