Moja mbili tatu, nateleza kama chatu/
Akili yangu chafu, kama soli ya kiatu/
Japo nimevamia kwa watu, ila najaribu kama upatu/
Wana hongereni sana maana kuchana sio lelemama.
Hebu chana shosti kama vipi imba/
Ayayayaaaa, that's amazing Tifu baby!Hebu chana shosti kama vipi imba/
Mimi naflow hata na beat ya marimba/
Usiwe kama konde boy watandahimba/
Skia michano pande hizi Mimi ndo simba/
Yechu ni kwerewamevamia kwetu kibwege sasa wanalia yesu nibebe.
Aiseeeeeee, are you Davinci[emoji3] ?, umetishaaa ,hizo sifa si zanguu lakiniNakupenda financial services, kwako mimi sijiwezi/
Sauti yako benzi, imeniteka mimi mpenzi/
Mwanzo nilikua Da'Vinci member, sasa nimekua Denver/
Kwa jinsi navyokupenda, Nipo tayari kukubeba/
Umbo lako nalipenda, na midomo yako ya denda/
Ukosefu wa pesa, umenifanya nikakukosa/
Ila bado moyoni upo, kwako sitaomba poo/
Sifa zote hizo zako, nzuri kama sura yakoAiseeeeeee, are you Davinci[emoji3] ?, umetishaaa ,hizo sifa si zanguu lakini
Naona mwachana ka watoto,wkt ni watu wazma
Mnataka mshikiwe kiboko,ili muanze kuimba
Toka mbeya mpka arusha,vjana wananikubari
Nami sitastop kuwarusha,kwa mistari mikali
Ni mwanzo tu ,hatamwisho hapaonekani
I love her too,thus why naish nae maskani
Kijana Fanya kazi,ili uishe vyema
Acha kutegemea wazazi,koz we MTU ni mzma
Let me stop ..tumeet tena
Siku hizi game ni ya uchumi, mitandaoni ni vita/
Dudu harushi tena ngumi, bali anachamba Insta/
Wawili ndio manyangumi, japo Harmo nae anaita/
Wanaojua hawavumi, kabisa hawana pa kupita/
Fid na Joh kwenye dimba, Media daily wanang'aa/
M'bishi ni kama Simba, utumwa waliukataa/
Hata wakiniundia tume, waambie Mvumbo ni balaa/
Mimi ndiye kidume, niliyemfanya ng'ombe wa masikini akazaa/
Dah, but that's not meeeeSifa zote hizo zako, nzuri kama sura yako
Ninapenda macho yako, bila kusahau tako/
Namiss sauti yako, kutoka kinywani mwako/
Sauti yako yavutia,Uu mzuri kama malkia/
Kiss Lini utanipatia, au kunikumbatia/
Acha kukaza mkubalie braza, mapenzi upofu na bado hutaki kutoka kwenye kiza/Dah, but that's not meeee
Heee[emoji3] [emoji3] , hii michano ni nomaaAcha kukaza mkubalie braza, mapenzi upofu na bado hutaki kutoka kwenye kiza/
Kwasababu Mwenye upendo wa kweli unamuona kama anaigiza, unashoboka na mapedeshee matapeli waliopata mali kwa miujiza/
Yai laweza kuwa leupe kwa nje ila ndani ni vinza, utajiri wa magari na pesa ni vitu vya kuvipuuza/
Wao wakila piza nyie kuleni chenza, hata kama limeoza usiteme we meza/
Michano ni noma sa kivipi services unagoma?, mapenzi ugonjwa utamuua Denvers kwa homa/Heee[emoji3] [emoji3] , hii michano ni nomaa
Simama piga saluti, kisha sema Mvumbo ni soo/Mkuu scars nakusifia, tenzi wajua kuzitupia/
Japo hujanifikia, tungo kuzitambia
Bila kusahau mvumbo, mwenye kiriba tumbo
Hauandiki utumbo, Japo unavidonda tumbo