INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Mi nahitaji kitabu cha passion fruits za njano, na hasa kiwe na maelezo tosha sana kuhusu chamgamoto za passion mf. Prunning, maua kuanza halafu hayaendelei kutoa matunda yanaanguka, spacing ya mche hadi mche, na viwatilifu gani vinahusuka kils hatua.
Kama kipo tuyajenge mtalaam.
 
Mkuu strawberry Kwa Hali ya hewa ya dsm inastawi vizuri?
boss strawberry hustawi vizuri kwenye mikoa ambayo ina joto la wastani,kama Morogoro,Arusha, Kilimanjaro,Mbeya n.k

Mikoa ya pwani pia hustawi vizuri kama ukipanda kwenye greenhouse chini ya uangalizi maalumu.
 
Je, kitalu bado kipo?

hicho kitabu sina boss wangu.
Ila hizo taarifa na nyinginezo kuhusu kilimo cha passion unaweza kuzipata Google.

Lakini pia Kwa sehemu na Mimi naweza ku-share na wewe yale machache ninayofahamu kuhusu kilimo hicho.

Karibu
 
Starfruit ni nini
 
Ahsante sana hata kwa kuipa uzito changamoto yangu na kuifanyia kazi. Uko makini sana na kazi yako Mkuu. Kwa kweli nimefurahi ku connect na mtu kama wewe.

Huko google na youtube utakuta wafilipino na wengine wana mazingira tofauti sana ya kilimo. Wakenya ni sawa ila kujieleza, sababu utakuta wengi wanajikita kwenye mbolea, viwatilifu bajeti ya mradi faida n.k.

Changamoto kubwa ya passion ni hapo maua kuanguka ku (abort). Mengine ni kama matunda mengine.
 
Starfruit ni nini
Ni tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"

Likiwa bichi lina rangi ya kijana likiiva lina rangi ya njano.

Huwa na harufu nzuri na sukari pia.
Unaweza Kula hivyo hivyo au hutumika kutengenezea juice
 
Asante, picha yake tafadhali
 
Asante boss Kwa kuni-appreciate, comments kama hizi zinanipa nguvu zaidi.

Ni kweli passion huwa zinaangusha majani Sana,lakini changamoto hii huwa na sababu kadhaa nyuma yake.

Karibu muda na wakati mwingine,nitafurahi kukuhudumia.
 
Ni tunda ambalo Kwa Kiswahili kisicho rasmi linaitwa "Mbilimbi za kizungu"

Likiwa bichi lina rangi ya kijana likiiva lina rangi ya njano.

Huwa na harufu nzuri na sukari pia.
Unaweza Kula hivyo hivyo au hutumika kutengenezea juice
star fruit huwa naskia ni tamu sanaa, sema sjawah yaona apa daslam, huwa linachkua muda gan mpk kula matunda?
Dar linaeza kubali?
 
Most welcome dear customers
0719527062(WhatsApp)
0757056472
 
ndio boss,miche yote iliyofanyiwa grafting lazima utoe nylon,usipofanya hivyo mche wa kigeni utakosa mahitaji yake muhimu,lakini pia usipotoa nylon itazama ndani ya shina kadri mche unavyozidi kukua na kuongezeka ,hivyo utaadhiri mche/mti
OK sasa vp kwa ile miche inayowekewa chupa za maji za plastiki
 
dear customers asanteni kwa kuendelea kutuamini
You are amazing ☺️.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…