Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787]Kibongo bongo wewe ukijitoa, mwenzako ndiyo anajitoa ufahamu kabisa[emoji1787][emoji1787].
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Kibongo bongo wewe ukijitoa, mwenzako ndiyo anajitoa ufahamu kabisa[emoji1787][emoji1787].
Mama mdogo wa konyoSawa mama mdogo
Sawa Mama MdogoMama mdogo wa konyo
This guy, Barack Obama is just blessed......Michelle Obama Ni mmoja Kati ya wanawake wachache Sana Duniani wanaojielewa.Baraka Obama aliokota embe dodo na mjani wake aisee!
hamna mkuu,ni tuela twa mboga tu point yangu ni kila mtu asimame kwenye nafasi yake huwezi kwenda againist nature mfano kuna majukumu kiasili ni ya mwanamme hata ukiyabeba we mwanamke kuna mahali utapwayaHakikisha umefunga piemu maana si kwa kasi hii watavyokujia huko wale MARIOO [emoji87]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sometimes nahisi ndoa ni kama ujasiriamali flani ivi. Kuna risk kama vle ukifungua biashara kulivyo na risk. Kwa maana kuna ambao wanaogopa akijitoa 80% ...na akaendelea kuvumilia sometimes hakuna return.. aka ataambulia patupu.
Wapo waliojitoa na saiv wako Cardiac huko JKCI wanatibu maradh ya moyo. Mwngne juzijuzi, ni jirani na yeye anajisacrifice...na mume hayupo huko, sukari ikashuka akakimbizwa hospitali.
Baadhi ya wamama wanaugua maradhi ya moyo ama sukari kwa matatizo yaliyosababishwa na mume in the name of sacrifice. Am not condemning anyone..am just making a statement. Anyways..we really need God's help katika hii sekta...ukienda kichwa kichwa hutoboi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibongo bongo UKIMVUMILIA MWENZIO UNAONEKA HUNA PA KWENDA NA UKIENDA UNAONEKA HUNA UVUMILIVU inabidi ukae chini ulieee mpaka basi machozi yakiisha unarudi kujipendekeza tena
Wakumbusheee kabisaaaa.Wanaume hapa watataka wajilinganishe na Obama wakati obama hapelekewi maji bafuni ya kuoga wala mkewe hafui na kupika au kudeki nyumba
Mbingu na ardhiWakumbusheee kabisaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbingu na ardhi
Tatizo tunakubali kushikiwa akilijuzi kuna bint ni jobless alafu anataka yeye akipika mmewe afue,sasa nkawa najiuliza huyu hana hata kazi vipi akipata kazi?
Nilimchana lakini na bahati nzuri alielewa make nilimwambia jifunze kwangu nina kazi,hela ya mboga si haba alafu angalia nnavyofanya majukumu yangu ya kike
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui kwa niniTatizo tunakubali kushikiwa akili
Tumebeba ya watu na kuyaishi na kuyaacha yale yetu wengine wayaishisijui kwa nini
Wewe Cocastic umezaa watoto wangapi mpaka sasa ?Huyu nae Michelle anasema nn? 70% zipi hizo? Za kukaa kwa sofa na kutazama CNN? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwahi kuhojiwa akasema huwa anatimiza majukumu yake ya nyumbani kama mwanamke/mama.....Wanaume hapa watataka wajilinganishe na Obama wakati obama hapelekewi maji bafuni ya kuoga wala mkewe hafui na kupika au kudeki nyumba
Itakuwa machache mno huyo ana wafanyakazi kibao hafui kama sie wao hapiki piki labda ajisikie labda kuhakikisha mmewe yupo sawa lakin mikazi mmmhAliwahi kuhojiwa akasema huwa anatimiza majukumu yake ya nyumbani kama mwanamke/mama.....